James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Ni ukweli kwamba kuna watanzania wengi sana ambao wamekuwa na malengo yakuhama Tz na KWENDA nchi tofauti ili kutafuta maisha,
Hata humu jF kuna wengi wanaoanzisha thready tofaut Kwa kutaka kupata taarifa mbali mbali kuhusu nchi Tofauti wanazotaka kuelekea.
Kwa ufaham na ushuhuda wangu katika niliyoyapitia na kuyaona Basi naomba niwambie mambo machache muafaka na kama kutakuwa na wenzangu waliotembea zaidi yangu basi wasogee hapa tusaidiane kuwaelimisha wenzetu.
Hapa nitaeleza kwa Part A,B na C
Part A itahusu kabla ya safari,mambo gani yakuzingatia,
Part B itahusu baada ya safari KUFIKA mwisho,ukishafika nchi husika mambo gani uzingatie,
Part C ushuhuda wangu juu ya Safari yangu,Kenya,Uganda,South africa,Zimbabwe,Namibia
Nchi nyingine ninazozitegema kuzifanyia Safari ni Botswana na Canada.nitazidi kufanya update uzi huu katika kila safari. Na Kama kuna wenzangu basi tusaidiane kujibu HOJA Za wadau,maana pengine naweza nikawa offline kwa majukumu.thanks
PART A
MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KABLA HUJATOKA TZ
1.Hakikisha unapata taarifa muhimu kuhusu nchi unayotaka kwenda,
-hapa nitatumia mfano wangu hai,Nilipokuwa nataka kuondoka Tanzania na kuja South Africa,nilijitahidi sana kutafuta watu wakaribu kupitia social network,marafiki,jamaa wakaribu ambao wangeweza kunipatia taarifa mbali mbali kuhusu eneo nitakalofikia.Tabia za wazawa ni muhimu kuzifaham.Usifanye makosa unaenda sehem hujui Tabia za wazawa utakaokwenda ishi nao.
2.Chunguza afya yako.
Hapa wengi hupuuza lakini ni suala muhimu sana,
Kuchunguza afya yako kutakusaidia kukupa uhuru zaidi kimawazo na kifikra,
Vitu muhimu vya kuchunguza ni Ngoma,
nimetaja HIv maana ndio ugonjwa mkubwa ambao unaambatana na maradhi mengine,
Zingatia sana,Usije ukafika NCHI ya watu ukafikia kuugua Ukimwi,ni kher ujipange kabisa Kiafya maana kule unakokwenda hakuna mtu wa uhakika wakuanza kukuhangaikia.
Nakumbuka jambo hili nililifanya siku ambayo nilikuwa nasafir kuja south,nilienda hospital MMOJA ,NIKAFANYA check up....
Zingatieni sana,Afya yako ni muhimu sana ukiwa unakuja huku au kwenda nchi yoyote.
Na ndo maaa jeshini hulinda Damu sana,
Hivyo ni muhimu kujua afya yako na ujipime pia mwili wako mwenyewe,kuna wengine HUWA wanatabia kila mwezi lazima aumwe maralia,mwingine baada ya miezi mwingine baada ya miaka,jipime mwenyewe pia kuona Kama unastahir kuhimili mikikimikk,Najua kila mmoja anajua mwenendo na tabia ya mwili wake.
3.Andaa kiasi cha pesa cha kutosha cha kukusukuma angalau week mbili AU mwezi unapofika Nchi husika.
Jitahidi uandae kiasi cha pesa ambacho kitakusaidia kusurvive angalau mwezi mmoja ukiwa unakula,
Nimezungumza hivyo maana nauhakika asilimia mia kwa kijana mwenye akili na umekuja nchi Kama south africa NDANI ya mwezi utakuwa tayar ushapata connection nzuri zaidi,au tempo yoyote yakupiga.na kama ni mfanyabiashara basi ushapata business yakufanya,
MUHIMU:unapofika nchi husika yamiliki mazingira uliyopo,usijifanye mgeni hakika utafail,
Kuwa jasiri kwakuwa nakuhakikishia asilimia mia,kila nchi ambayo mgeni akienda huwa na fulsa kwake,
4.Toa taarifa kwa watu muhimu Juu ya safar yako.
Ndgu usilogwe ukatoroka Tanzania ukaja SA,Zimbabwe,Canada,Botswana,namibia AU Nchi yoyote ile pasipo KUTOA taarifa kwa wazaz wako,marafiki muhimu.
Ni muhimu sana kwakuwa hujui unakokwenda kutakuwa vipi,usifanye Safari yako ikawa kafir kwakutoroka pasipo kutoa taarifa,
Kumbuka kutoa taarifa kunakuweka huru na ndugu zako na baraka unakuwa nayo,
Najua kuna baadhi ya ndugu husema sema sana,na hii ni kawaida ya WATANZANIA wote kwetu.hili nalizungumza hapa chini.
5.FUATA KILE MOYO WAKO KINACHOSEMA KUHUSU SAFARI YAKO.
Wengi hudharau sana mawazo ya watu na wao kutaka wafatwe mawazo yao,
Sasa ni hivi,ukitaka kufanya Safari yako yoyote hebu jaribu kupima kiwango cha amani na ujasir ulionao moyoni MWAKo.
Wengi hupenda sana kusikiliza wazaz wao,marafiki kuwafanyia maamuzi, ndugu Mungu alipokuumba alikupa akili iliyo na ufaham,ubongo ni kompyuta tosha kabisa yakukamilisha kila process ya jambo,tumia mwenywe kufanya maamuzi katika baadhi ya mambo,hatukatai ushauri lakin ni lazima uone ni kipi kimesimama moyoni mwako.
Nilipokuwa natoka tz,nakumbuka mengi yalisemwa sana,lakini nilisikiliza ni nini moyo wangu unavyosema,niliondoka tz nikiwa nimeshayamiliki mazingira na changamoto zote zitakazoweza jitokeza,I was ready,jasiri,hodar na mwenye maamuzi,.Na ndo maana Leo nakula bata.
5.PASSPORT
ndugu Usitumie ETD kusafir nchi Za wenzetu na ukiwa na mpango wakukaa milele,utapata usumbufu sana,jitahidi upate Passport ya kimataifa uwe NAYO mkononi,,,wala usiipoteze katika safar yako,
KWA UCHACHE HAYO NI MAMBO MUHIMU YAKUKUPIGA MSASA NIKIPATA NAFASI NITAZID KUYAONGEZA,
PART B
BAADA YAKUANZA SAFARI NA KUFIKA NCHI HUSIKA
1.USITAKE KILA MTU AJUE WEWE NI FOREIGNER
Ndugu,zingatia unapofika nchi Za watu usijitambulishe kwa kila unayekutana nae wewe ni mgeni,YAMILIKI MAZINGIRA,Kuwa Kama mwenyeji,Kuwa jasir kwakuwa haujapigwa chapa yakukuthibitisha hadharan wewe ni mtanzania,Na ujue sio kila mtu utakayemwambia wewe ni mtz atafurahi wengine ni wanafiki,kama mnavyojua waafrica tulivyo.
2.TAFUTA MARAFIKI WENYE NIDHAM,
Ukifika mahali,jitahid kuwa na uhusiano na mtu ambaye unauhakika na Tabia yake kuwa njema,usije ukafika ukaanzisha uhusiano na marafik wahuni wauza unga,basi ujue mwisho wako utakuwa gerezani,zingatia sana unapofika mahali tafuta watu wenye hekima zaidi na wenye wito wakukusaidia,wenye uchungu na maisha,sio sio u ezoea ulevi basi ukifika tu Sa unaanza kutafuta walevi wenzako,Utapotea,,,,,,,,,,,,
NITAENDELEA KESHO.......