The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,686
- 123,490
Wana waamini hao coz wanafikiri kuwaamini ndio uanaharakati.Kabisa , sijui wana waamini wanatumia kichwa kipi kutafakari
Wana waamini hao coz wanafikiri kuwaamini ndio uanaharakati.Kabisa , sijui wana waamini wanatumia kichwa kipi kutafakari
Vyama vingi vilirudi tz 1992Huyo JPM si ndio aliweka mkakati wa kumtwanga lissu risasi? Lakini cha ajabu aliyetangulia kulala ardhini ni yeye na Lissu bado yuko anapumu juu ya ardhi,
CHADEMA iko kabla hata ya JPM, tena huyo Samia sijui km alikua hata ana ndoto za kuwa siasani wakati CHADEMA inaanzishwa, waliikuta na wataiacha.
Umeelewa lakini? Au umekurupuka?Vyama vingi vilirudi tz 1992
Wewe huna cha kunielewesha, mdogo kiumri na kielimu piaUmeelewa lakini? Au umekurupuka?
pole sana sanaSiku ya leo ni ya maumivu makali sana.
Leo naona unatafuta kutrend kupitia mie, maana huchoki kunifuata fuata.Wewe huna cha kunielewesha, mdogo kiumri na kielimu pia
uzuri case nimefunga ni wakati watu wajipange na sio kuishi delusionalMwasisi wa dini ya akili kubwa kwa hii comment umeangukia pua, umeonyesha jinsi ulivyo kiwango cha chini sana, futa tuu ule uzi wako
una hoja ilaWanaume wanao mfollow mange ni mashoga
na leo nashusha nondo kule. mabishano nishatoka na leo natoka kuangalia nyuzi kama hiziMwasisi wa dini ya akili kubwa kwa hii comment umeangukia pua, umeonyesha jinsi ulivyo kiwango cha chini sana, futa tuu ule uzi wako
Kabisa bwashee na kwa uzuri au kwa ubaya hao manyumbu (Madanganyika) yapo humu na yatakuja na kila aina ya hoja kukupinga ila usihangaike maana ni MANYUMBU na sisi huwa tunasema "kutokuelewa ni sifa ya nyumbu"😎Haya madada malengo yao yalikua lissu anyongwe , hayana jema kwa chadema kabisa 🤔
Na yamejizolea manyumbu kibao , yenyewe yanapokea oda za kipumbavu tu , kutoka kwa hawa wanawake 🚮🚮
Chadema kwa hili mjitafakari sana kuhusu hivi virusi vikali dhidi yenu 🤔
Cc ,Dr Matola PhD Bufa
Usenge ni wewe naye support wanasiasa washenzi wezi wa kura, watekaji, wauaji etc na huna utaifa wowote zaidi kusupport nduli kwa ajiri ni kobazi mwenzako, ni zaidi ya trash weweSina hata kadi ya CCM,siyo wote wafia vyama, wengine hatupendi uscenge kwenye hatma ya taifa,yaani watu wanasema hapatakalika,watavuruga uchaguzi,watahamsisha uasi na kweli yanatokea halafu tuwe upande wao?..huo ni ujinga!
Hivi rais angekua jpm hao mafala na hicho chama chao wangekuwepo?
MO 29 ilikua vita vya msalaba,mbele lissu nyuma kanisa likivuta strings,rais angekua magu yasingetokeaUsenge ni wewe naye support wanasiasa washenzi wezi wa kura, watekaji, wauaji etc na huna utaifa wowote zaidi kusupport nduli kwa ajiri ni kobazi mwenzako, ni zaidi ya trash wewe
Gen z bana,wanadhani kila mtu anaona kutrend jambo la maanaLeo naona unatafuta kutrend kupitia mie, maana huchoki kunifuata fuata.
Em nipishe kulee.
wazazi wangu nishafukia so matusi ya kunitukania wazazi naona kama unaniambia nikupige doleUsisahau baba ako naye anamfollow
Mie sio Gen z km wewe, unaye haha na venye hamna.Gen z bana,wanadhani kila mtu anaona kutrend jambo la maana
Acha uwongo,Lisu au CDM hawakuwahi kuhusika na MO29 na mlikuwa mmeshamweka ndani, na kilichosababisha ni huyo Mobutu wa kizimkazi kuzuia mikutano ya kisiasa na kuwaweka ndani wapinzani,mwisho bila aibu akajitangaza ameshinda kwa 98%, lazima uwe mwehu kutetea ule upuuzi, na hakuna udini waislam waliandamana kudai haki na waliuliwa pia, ni wewe tuu na maboya wenzako mnaleta udini kudanganya watuMO 29 ilikua vita vya msalaba,mbele lissu nyuma kanisa likivuta strings,rais angekua magu yasingetokea
So yeah,nipo kwa ajili ya nchi na kupinga chuki za kijinga za kidini zilizoasisiwa na kanisa tangu uhuru
Huyo mama aliwakosea nini mpaka kuanza kumpinga na kumchukia, DP world,kisa waarabu?
Asantepole sana sana
MO 29 ilikua vita vya msalaba,mbele lissu nyuma kanisa likivuta strings,rais angekua magu yasingetokea
So yeah,nipo kwa ajili ya nchi na kupinga chuki za kijinga za kidini zilizoasisiwa na kanisa tangu uhuru
Huyo mama aliwakosea nini mpaka kuanza kumpinga na kumchukia, DP world,kisa waarabu?
Gen z bana,wanadhani kila mtu anaona kutrend jambo la maana