Hilda Newton na Mange Kimambi.

Hilda Newton na Mange Kimambi.

Hawa jamaa hawataki ushauri ,kupambana na CCM kwa chuki na matusi wataishia kulalamika kila siku.
walitakiwa kukaaa nao karibu ili kuwajua zaidi ,yaani wacheze nao kwa step ,watapata nafasi ya kujua udhaifu wao.
umeua kabisa mkuu
 
Poleee, wewe endelea na movements zako.

Walikua kina Nchimbi, Polepole, Ndugai.
Unajua nini kimewakuta, sembuse wewe?
Sina hata kadi ya CCM,siyo wote wafia vyama, wengine hatupendi uscenge kwenye hatma ya taifa,yaani watu wanasema hapatakalika,watavuruga uchaguzi,watahamsisha uasi na kweli yanatokea halafu tuwe upande wao?..huo ni ujinga!
Hivi rais angekua jpm hao mafala na hicho chama chao wangekuwepo?
 
Back
Top Bottom