Hilda Newton na Mange Kimambi.

Hilda Newton na Mange Kimambi.

Sina hata kadi ya CCM,siyo wote wafia vyama, wengine hatupendi uscenge kwenye hatma ya taifa,yaani watu wanasema hapatakalika,watavuruga uchaguzi,watahamsisha uasi na kweli yanatokea halafu tuwe upande wao?..huo ni ujinga!
Hivi rais angekua jpm hao mafala na hicho chama chao wangekuwepo?
Huyo JPM si ndio aliweka mkakati wa kumtwanga lissu risasi? Lakini cha ajabu aliyetangulia kulala ardhini ni yeye na Lissu bado yuko anapumu juu ya ardhi,

CHADEMA iko kabla hata ya JPM, tena huyo Samia sijui km alikua hata ana ndoto za kuwa siasani wakati CHADEMA inaanzishwa, waliikuta na wataiacha.
 
Nimeshakujibu acha kukariri
Kinyume cha kupenda sio kuchukia
Sasa wewe unataka kuwapangia watu maisha? Wampende nani au wamchukie nani?
Wewe watu wote unao wachukia wanakujua? Au unaowapenda wanakujua? Ni lazima wakujue?
Nikimpenda Messi au kumchukia nakua nakosea coz hanijui?

Unaweza kumchukia mtu kutokana na madhara anayo yasababisha na sio kwa personality yake,

Kwani una umri gani?
 
Back
Top Bottom