The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,686
- 123,490
Kwahiyo mange unamtetea anatumia haki yake ya kuongea ila mleta mada hutaki aitumie hiyo haki yake ya kuongea,unaanza kumpangia eti asimchukie Mange? Hivi unajielewa kweli wewe?Ndio anamchukia mtu anaishi huko marekani na anatumia haki yake ya kuongea lazima tumkumbushe asibebe mizigo isiyokuwa na maana
Nimekwambia mind your own business namaanisha kua usiingilie uhuru wa mleta mada,ampende nani au amchukie nani,wewe haikuhusu,Ukileta mambo ya mind your own business usicomment chochote kuwa msomaji tu kumbuka hii ni forum kwa hiyo lazima utajibiwa tu
Kumbe ulikua unataka tuzo ya kupangia watu wasimchukie Mange kisa hawajui? Mtu mwenyewe hujui hata kuandika,hiyo Aya ndio nini? Unajua kua Aya na Haya ni vitu viwili tofauti kabisa?Huku hakunaga tuzo zamani ulikuwa unaporomosha matusi vibaya mno sahivi unataka ushindi
Aya umeshinda furahi