Hilda Newton na Mange Kimambi.

Hilda Newton na Mange Kimambi.

Unamshauri mtu ambaye kisha fungua uzi tayari wa kumchukia Mange? Hivi unajielewa kweli wewe? Alikuomba huo ushauri? Wewe mbona unashauriwa mara milioni hapa kua acha kila mtu ampende amtakaye au amchukie asiye mtaka ila umekomaza fuvu tu hapa.
Inasemekana ndio raisi wa wawamatumbi ajaye😅😅😅
 
Hii forum kaka au na hili hulijui mbona unaongea ujinga sana
Kwani kufungua uzi ndo watu wasiotoe maoni yako
Mbona unaongea ujinga sana
Hivi unajua maana ya forum
Wewe hujielewi ndio maana hata huelewi unacho ambiwa,usilazimishe kila mtu ampende huyo Mange,point yangu imebase kwa wewe kusema mleta mada anamchukia Mange wakati Mange hamjui mleta mada,wewe inakuhusu nini? Unao wachukia wote,wao wanakujua?
 
Kama hujui hii ni forum nikusaidiaje
Inaonekana unapenda utemi sana
Mimi nimetoa maoni yangu unasema nimelazimisha

Ndo maana zamani kila anayekupinga ulikuwa unamporomeshea matusi
 
Haya madada malengo yao yalikua lissu anyongwe , hayana jema kwa chadema kabisa 🤔

Na yamejizolea manyumbu kibao , yenyewe yanapokea oda za kipumbavu tu , kutoka kwa hawa wanawake 🚮🚮

Chadema kwa hili mjitafakari sana kuhusu hivi virusi vikali dhidi yenu 🤔

Cc ,Dr Matola PhD Bufa
Wanaume wanao mfollow mange ni mashoga
 
Kama hujui hii ni forum nikusaidiaje
Inaonekana unapenda utemi sana
Mimi nimetoa maoni yangu unasema nimelazimisha

Ndo maana zamani kila anayekupinga ulikuwa unamporomeshea matusi
Zamani ipi? Zamani wewe ulikuwepo? Acha kujipendekeza,jiongelee wewe kama wewe,ongea issue za hii mada,acha kuanza kutafuta sympathy hapa.
 
Wewe ni bingwa wa kutukana
Na wewe ni bingwa wa ukichaa sio?
nani asiyekujua
Nimekwambia jiongelee wewe kama wewe,acha kutumia wingi,acha kutafuta sympathy hapa,
Hii ni forum ukianzisha uzi utajibiwa na kukosolewa kama hupendi pole
Humjui hata aliye anzisha uzi.acha ushauri wa kipumbavu,kama mleta mada anamchukia Mange,wewe kinakuwasha nini? Au unafikiri kumtetea Mange ndio utaonekana mwanaharakati? Uanaharakati haupo hivyo,ndio maana mnafeli.
 
Na wewe ni bingwa wa ukichaa sio?

Nimekwambia jiongelee wewe kama wewe,acha kutumia wingi,acha kutafuta sympathy hapa,

Humjui hata aliye anzisha uzi.acha ushauri wa kipumbavu,kama mleta mada anamchukia Mange,wewe kinakuwasha nini? Au unafikiri kumtetea Mange ndio utaonekana mwanaharakati? Uanaharakati haupo hivyo,ndio maana mnafeli.
Ni ukweli ulikuwa bingwa wa kutukana
 
Back
Top Bottom