min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,907
- 179,260
- Thread starter
- #81
Bwashee unawapiga hawa madogo kwenye mshono sana 😁 wasamehe tuSasa wewe unataka kuwapangia watu maisha? Wampende nani au wamchukie nani?
Wewe watu wote unao wachukia wanakujua? Au unaowapenda wanakujua? Ni lazima wakujue?
Nikimpenda Messi au kumchukia nakua nakosea coz hanijui?
Unaweza kumchukia mtu kutokana na madhara anayo yasababishana sio kwa personality yake,
Kwani una umri gani?