Sasa ili kuonesha hili, umma unatakiwa kuinuka na kuamka kuchukua hatua sasa, sio tunalia kwa kibodi. Tutachezewa hadi lini??Kwa yaliyotokea yamenishtua sana.
unajua lisu ana nafasi yake na umuhimu wake akiwa nje ya gereza!!!
Hawa jamaa hawataki ushauri ,kupambana na CCM kwa chuki na matusi wataishia kulalamika kila siku.mkitaka kuiangusha CCM iangusheni mkiwa ndani.
Hebu soma comments niliyo reply.Kwamba watu wachukukue hatua kwa maamuzi ya mange na hilda?
usiwastue.Haya madada malengo yao yalikua lissu anyongwe , hayana jema kwa chadema kabisa 🤔
Na yamejizolea manyumbu kibao , yenyewe yanapokea oda za kipumbavu tu , kutoka kwa hawa wanawake 🚮🚮
Chadema kwa hili mjitafakari sana kuhusu hivi virusi vikali dhidi yenu 🤔
Cc ,Dr Matola PhD Bufa
Mange Kimavi ni mmarekani siyo mtanzania tena lengo lake apate pesa kwa kuichoma nchi yetu ni wapumbavu tu wa chadema hawawezi kumwelewa. Kimsingi chadema ni chama kimekata tamaa chadema kimeshakata tamaa kushika madaraka kwa njia ya uchaguzi wako tayari kushirikiana na adui yyte wa nchi yetu kuiteketeza hii nchi.Haya madada malengo yao yalikua lissu anyongwe , hayana jema kwa chadema kabisa 🤔
Na yamejizolea manyumbu kibao , yenyewe yanapokea oda za kipumbavu tu , kutoka kwa hawa wanawake 🚮🚮
Chadema kwa hili mjitafakari sana kuhusu hivi virusi vikali dhidi yenu 🤔
Cc ,Dr Matola PhD Bufa
😂😂😂 dislike maana yake sijaupenda hoja yako, kwani bwashee kuna tatizo nisipokuunga mkono kwa jambo fulani?Kipenzi Chao jipe mda usitukane wa kunga na uzazi ungalipo
Uzi wako huu unaonyesha na comment zako dhidi ya mange na hildaUmejuaje?