Maeneo ya mjini yana isp za kutosha hasa fibre connectionHao wana operate small area sio Dar yote.
Watu wa Sinza, Kinondoni, Masaki, Mbezi nk ndio wamefikiwa na hizo huduma.
Lakini nje na hapo hizo huduma hazifiki
Hii ni kweli kabisawapo toka kitambo lakini maeneo machache
Kuna watu hapa Tz wanafaidi unlimited interent kkwa bei nafuu tangu miaka ya 2000, mitaa waayoishi kuna cable internet za uhakika za ttcl, raha, zuku, liquid, n.k.
Ushuani huku kibada mbona hamnawapo toka kitambo lakini maeneo machache
Kuna watu hapa Tz wanafaidi unlimited interent kkwa bei nafuu tangu miaka ya 2000, mitaa waayoishi kuna cable internet za uhakika za ttcl, raha, zuku, liquid, n.k.
Hawa hawajasambaa kama ttcl! Hata bei hizo ni kama za TCCLNimeamini neema ipo Dar. Mchawi hela. Kama hawa liquid wamekuja hivi me nahamia DarView attachment 2910123View attachment 2910124
Kama utaingia kwenye website yao, watakuomba uingize street address ili kujua kama hiyo service inafika,Kibamba na kiluvya kuna coverage?
Hao wanafunga majengo, wapo Africa nzima, mimi nilipo ni jirani kabisa na Jengo lenye Fiber ya raha wamekataa kunifungia, wanafunga Kwenye Maghorofa marefu yenye apartment NYINGI, hotel kubwa na sehemu nyengine kwenye Hela.Hao wana operate small area sio Dar yote.
Watu wa Sinza, Kinondoni, Masaki, Mbezi nk ndio wamefikiwa na hizo huduma.
Lakini nje na hapo hizo huduma hazifiki
Duh..Hao wanafunga majengo, wapo Africa nzima, mimi nilipo ni jirani kabisa na Jengo lenye Fiber ya raha wamekataa kunifungia, wanafunga Kwenye Maghorofa marefu yenye apartment NYINGI, hotel kubwa na sehemu nyengine kwenye Hela.
Duuh hao jamaa mbona kama wana maringo ya TTCL kiaina?Hao wanafunga majengo, wapo Africa nzima, mimi nilipo ni jirani kabisa na Jengo lenye Fiber ya raha wamekataa kunifungia, wanafunga Kwenye Maghorofa marefu yenye apartment NYINGI, hotel kubwa na sehemu nyengine kwenye Hela.
Hawa jamaa ni wakubwa mno compare na TTCL wamesambaza Fiber Africa nzima,Duuh hao jamaa mbona kama wana maringo ya TTCL kiaina?
Sema saizi tunapoelekea kwa hizi internet za Router, hayo makampuni yatakuja jutia hizo nafasi walizozipoteza
Pato lao ni matrilion ya Hela, wapo vizuri kama unavyoona kina Voda, ni kwamba tu hawana time na masoko madogo.Duh..
Watafute funding wapanue wigo wa huduma
Hivi Raha na Liquid ni the same?Hawa jamaa ni wakubwa mno compare na TTCL wamesambaza Fiber Africa nzima,
View attachment 2912325
Issue yao ni hio, wanatarget tu watu fulani basi.
Ndo hao hao wamebadili jina,Hivi Raha na Liquid ni the same?