Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,224
Kampuni gani?Kama unaishi sehemu yeyote karibu na Moroco, tunapata internet unlimited kwa mwezi kwa 50-60k. Familia hata mkiwa zaidi ya 10, ni unlimited kweli na speed ni superb.
Kampuni gani?Kama unaishi sehemu yeyote karibu na Moroco, tunapata internet unlimited kwa mwezi kwa 50-60k. Familia hata mkiwa zaidi ya 10, ni unlimited kweli na speed ni superb.
Duuh unlimited kwa 50k tu??Kama unaishi sehemu yeyote karibu na Moroco, tunapata internet unlimited kwa mwezi kwa 50-60k. Familia hata mkiwa zaidi ya 10, ni unlimited kweli na speed ni superb.
Katibu wa banyeta, acha wivu😆.Duuh unlimited kwa 50k tu??
Mbona watu wanafaidi sana aisee
Aisee mna Raha Sana, Sasa watu 10, si mna changa elfu 5 😆🤣Kama unaishi sehemu yeyote karibu na Moroco, tunapata internet unlimited kwa mwezi kwa 50-60k. Familia hata mkiwa zaidi ya 10, ni unlimited kweli na speed ni superb.
Naye amesema anahamia Dar.Hao wana operate small area sio Dar yote.
Watu wa Sinza, Kinondoni, Masaki, Mbezi nk ndio wamefikiwa na hizo huduma.
Lakini nje na hapo hizo huduma hazifiki
Hiyo aliyoitaja mleta mada ya kwanza.Kampuni gani?
Sana, I sometimes work from home ndio maana internet ni hitaji la msingi humu ndani.Aisee mna Raha Sana, Sasa watu 10, si mna changa elfu 5 😆🤣
Sana sana.Duuh unlimited kwa 50k tu??
Mbona watu wanafaidi sana aisee
Keep grinding dost, hayo ndo matumizi sahihi ya internet.Sana, I sometimes work from home ndio maana internet ni hitaji la msingi humu ndani.
Bwana bwana! Hapo niko pamoja na Watanzania wenzangu😂Keep grinding dost, hayo ndo matumizi sahihi ya internet.
👉Ume bakisha solar, ili kuondokana na jam za umeme
Kwamba Wana ubahili mwingi 🤣😆Bwana bwana! Hapo niko pamoja na Watanzania wenzangu😂
Raha ilichukuliwa na Liquid Telecom hivyo Raha ndiyo inaitwa Liquid kwa sasa.wapo toka kitambo lakini maeneo machache
Kuna watu hapa Tz wanafaidi unlimited interent kkwa bei nafuu tangu miaka ya 2000, mitaa waayoishi kuna cable internet za uhakika za ttcl, raha, zuku, liquid, n.k.
Hamna katika kuteseka. 😅Kwamba Wana ubahili mwingi 🤣😆
Nunueni solar Sasa🤣😆, watt 200Hamna katika kuteseka. 😅
Watakuwa walikwepa kodi haoNdo hao hao wamebadili jina,
Labda maeneo ya ushuani huko zinapoishi royal familiesNaye amesema anahamia Dar.
Kuna wengine wametandaza fiber mpaka bunju... Leo wamemvutia jirani na mimi nahama superkasi nahamia kwao jamaa kanipa namba nimceck waje wanivutie wayaHao wana operate small area sio Dar yote.
Watu wa Sinza, Kinondoni, Masaki, Mbezi nk ndio wamefikiwa na hizo huduma.
Lakini nje na hapo hizo huduma hazifiki
Hio kampuni iliowanunua ni Giant, Inamilikiwa na Bilionea wa Zimbabwe, Strive Masiyiwa, ni congromelate kubwa sana. Kifupi mkuu ni kama wanatengeneza ka Empire kao huku Africa.Watakuwa walikwepa kodi hao
Nami ni mkazi wa jirani na mitaa hiyo naomba mawasiliano yao mkuuKuna wengine wametandaza fiber mpaka bunju... Leo wamemvutia jirani na mimi nahama superkasi nahamia kwao jamaa kanipa namba nimceck waje wanivutietamani mkuu watu boko buju
ISP gani huyo?Kuna wengine wametandaza fiber mpaka bunju... Leo wamemvutia jirani na mimi nahama superkasi nahamia kwao jamaa kanipa namba nimceck waje wanivutie waya