Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Kila kitu mazowea, kama ukuwazowea ukiwala hao unaarisha mpaka unakufa
Hapana sio kumbikumbiKumbikumbi
Wanaitwa je na wanapatikana wapiHapana sio kumbikumbi
Hutoka sambamba na kumbikumbi Ila hawa ni jamii ya sungusungu wakubwa wana kiuno kama nyingi pia hawa ni wanene na wakubwa kuliko nyigu ni kama wanavyoonekana ktk picha, kuna kabila moja huwaita nnene, Mimi niliwaona Iramba japo si wengi kivileWanaitwa je na wanapatikana wapi
hao ni kumbikumbi
Mange Kimambi..!
Kumbi kumbi wa juu, senene wa chini; nimekula sana hivi vidudu. Siku hizi sijui nao maisha magumu, licha ya mvua hawaji!
Senene kwa beer baraaaaa hiloooo lingine..Kumbi kumbi wa juu, senene wa chini; nimekula sana hivi vidudu. Siku hizi sijui nao maisha magumu, licha ya mvua hawaji!
View attachment 509505
Kumbi kumbi wa juu, senene wa chini; nimekula sana hivi vidudu. Siku hizi sijui nao maisha magumu, licha ya mvua hawaji!
View attachment 509505
kweli asee wamekuwa adimu mno sijui wameisha kama faru.Kumbikumbi ikinyesha mvua wakija unawasha chemli unaiweka karibu na dish kubwa lenye maji, wanaingia mtegoni wenyewe!Unyonso huo babake......iyo kuukamata hadi ujaze jaji kazii hatariii. Dunia hii bana....unakuta home upo wewe kakako dadako mnaenda kukamata kama umekamata kidogo wadau hawataki mchange mkaange pamoja. Hahahahaha
Hahaa, wana inyee haoMange Kimambi..!