Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
kwa kiswahili sifahamu.Jina lao Kiswahili ni lipi?
kwa kiswahili sifahamu.Jina lao Kiswahili ni lipi?
Aisee watamu sana niliwala Kagera nilikuwa kikazi huku
Mkuu kunaitwa Kitwe au katwe ?Hawa wadudu wana ladha flani veri ameizing. Ukiwapiga pamoja na ugali wa dona basi mambo yanakuwa swadakta kabisa. Nimewala sana kipindi hicho naishi Katwe-Zambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa wadudu wana ladha flani veri ameizing. Ukiwapiga pamoja na ugali wa dona basi mambo yanakuwa swadakta kabisa. Nimewala sana kipindi hicho naishi Katwe-Zambia
Ibhitemvu.Tunaita vitemvu
Sjui kama nimekusoma vizuri dadanguNkalaharya.
wenye lugha hii. nazani wanazijua.Babu yangu alikuwa anazipenda mno. alikuwa atutuma tukamkamatie. na mimi nlikuwa mwoga kweli kushika wadudu.
MUNGU akurehemu mume wangu
Ahaaaa, hapo sawani babu. ila nimechukua jina la mke wake. kwa hiyo ni Mume
KumbikumbiJina lao Kiswahili ni lipi?
Kumbikumbi