Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

Manyama ni full proteins.unakwenda safi kabisaa na dona

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mazyenje hayo! Matamu sana !

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa kiswahili hao wadudu wanaitwa man'geng'e
Na hilo jina linatokana wanavyo kuwa wanaluka yale mabawa yanatoa sauti inayofanana na hilo jina.

Ni sawa na nzi anapo luka anatoa mlio unaolia nzii



Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom