Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

Manona yanaitwa, nimekula sana. Yanapatikana kwa msimu hasa kwenye vichuguu.

Matamu sana kwa ugali, hasa kwa pembeni kuwe na maharage na kisamvu cha karanga, kilichopikiwa kwenye chungu.
Ukila sana jiandae kwa kuendesha...kuhar..a
 
Shukrani Mkuu. Umewahi kuwaonja hawa? Mie sijawahi ila niliwahi senene wa kukaanga kwa rafiki yangu. Ni watamu kusema kweli ila ilikuwa ni mara moja tu.
Nimewala kitambo sana, hawa wadudu wakikaushwa/kukaangwa vizuri ni watamu sana, ukila kwa wingi utahara sana coz wana mafuta sana
 
IMG_6548.JPG
 
Back
Top Bottom