Hijab kwenye shule za kikristo

[emoji23] [emoji23] at least you played your part hahaha
 
Kuna mmoja wazazi wake walifanya figisu akafanikiwa kusoma Hanga Seminary darasa moja na mzee wangu, ilikua ikifika siku zile za kula "the animal" jamaa anajificha...mzee akamwambia ukiendelea hivi watakushtukia then utafukuzwa na kurudi kwenu, jamaa akaanza kuitandika taraatibu mpaka sasa ni master kwenye hiyo kitu balaa kila wakikutana na mzee anamshukuru kwa Ushauri wake maana anasema angepata shida sana kuishi uingereza Coz alienda uingereza baada ya hapo na ameishi sana huko.....[emoji28]RC ukiweza tu kula mdudu hawana shida na wewe[emoji28]
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Ndio maana tunasema, tatizo la wagalatia wa kitanzania ujinga, ushamba na roho mbaya au kwa kifupi elimu zenu hazijawasaidia ndio maana hilo linchi halisongi mbele kimaendeleo. Wakristo wa maeneo mengine hawafikiri kama nyinyi, tatizo ni nini kwenu?

Asalaam Aleykum (arabic) "How are you (english). Ni salaam tu hiyo katika lugha tofauti tu, hakuna dini wala, uislamu hapo. Sasa Bwana yesu asifiwe inafananishwaje na "how are you/asalaam aleykum"? Yesu ni Mungu kwa imani yenu, wapi ametajwa Mungu au Muhammad katika Asalaam Aleykum? Na kuthibitisha ujinga na upofu wa nyie ndugu zetu, wenzio wanakugonge "like" kwamba umeongea booonge ya point.

Hasara hii kwa Taifa letu.
 
Haya ukinisalimia hivyo mimi natakiwa nikujibuje? maana ya hilo jibu ni nini!?
 
Mkuu hivi unazijua Kweli Seminary??? sio Kila shule ya Roman catholic ni seminary nyingine ni shule tu kwa ajili ya kutoa huduma kila mtu anasoma kama ana uwezo wa kulipa Ada shule kama nyegezi seminary-Mwanza Makoko seminary- Musoma Maua seminary-Moshi hizo ndio seminary haswaa na baadhi cjaztaja HAKUNA na rudia tena HAKUNA mtu yoyote zaidi ya Roman catholic anaruhusiwa kujiunga!!!! seminary ni kitalu!!!
 
kavue na za ma sista kanisani
 
Shule zipo nyingi, kwann ung'ang'anie hiyo inayolazimisha kuvaa hijab
 
Wakristo hawana ubaguzi tangu zamani, hata wakitoa misaada huwa hawabagui MTU! Ila hawa wenzetu duu! We acha tu ni shidaa.
 
Reactions: PNC
mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?
Hahahahaha sio Muhammad asifiwe????

Una maswali ya kijinga amani ya bwana iwe nawe/nanyi huu ndio usahihi name salaam hii naisikia kwa waislam na wakristo pia

Hizo za yesu asifiwe hawawezi kama ambavyo hawawezi kusema Muhammad asifiwe?
 
Tafsiri ya kawaida

Konde ni shamba ukipanda kunaota mmea

Hivi ukimgeuza mwanamke unapanda nini??

Umeweka tafsiri ya uongo lengo nini au njia ya kufika huko mbinguni ni kuwa waongo?

Ukijifunza huu uislam kwa chuki au kupitia vyombo vya habari huna utakalo jifunza zaidi ya chuki
 
...pamoja na hayo Wayahudi, Wakristu na Waislam wote tunamwamini Mungu mmoja...
.
Sawa. Lakini, fanya utafiti kidogo kuhusu kauli yako hiyo hapo. Unaweza kugundua haya:
  • The Islamic faith believes that Allah is god is the one, true god, but Jesus is not the Son of God as Christians believe (Surah 9, 30).
  • Islam teaches that Jesus was only a great prophet but not divine (Surah, 5:17, 75).
  • Even Jesus death on the cross was faked (Surah 4, 157) and apparently God allowed Judas to look like Jesus and he was crucified instead (Surah 4, 156-158).;
  • Christians believe in one God but in three distinct Persons.; The Islamic faith believes in only one god as one person (Allah).
  • Christians embrace the cross as the only way that they can be saved and it is through the work and Person of Jesus Christ (Acts 4:12) so if you have got the wrong Jesus, you have got the wrong way.
  • Jesus is more than a prophet, He is more than a Teacher; He is the literal Son of God and is fully divine and as such, has all omnipotent power.
  • In the vital areas, the differences are like night and day.
 
Una hakika kuwa hicho kilichofanywa ni sunna ya mtume

Kwani kuna gharimu nini ukauliza kisha ukawa na maana iliyo sahihi ukijengwa ktk chuki huna utakalo jifunza zaidi ya chili tuuuu
unabisha kama mtume hakupaka wanja/ina?

Unakataa kama mtume hakuwa ananyonya ndimi za wanaume wenzie?

MKUU USINI QUOTE UKIWA HUIJUI DINI YAKO
 
Haya ukinisalimia hivyo mimi natakiwa nikujibuje? maana ya hilo jibu ni nini!?
Umeuliza vizuri sana. Jawabu lake ni "How are you too"; Wa-aleykum salaam! Wa means "na"/ same to you. Sasa watu sijajua kwanini hawataki kutumia elimu zao (hata hizi google) kujiongezea maarifa. Ndio nikasema ni hasara kwa Taifa.
 
Mimi naona solution ni hii........ Kama unataka kumpeleka mwanao kwenye shule za dini mpeleke kwenye dini yako husika..... Sasa hivi kuna shule nyingi sana za dini sio kama zamani... Ziko za kisabatooo za kiislamuuu za kiman na zakilutheriii..... Mpeleke mwanao kwenye shule ya dini yako usika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…