Hijab kwenye shule za kikristo

Asalam alykhum ina maana ya "amani iwe nanyi" hii salamu hata yesu aliitumia sana.
Hebu nipe andiko linaloonyesha yesu alitufundisha tusalimiane 'Bwana Yesu asifiwe'
huwa nina wasiwasi na alah kama ndo Mungu tumuabuduye yule Mungu wa ibrahimu isack na yakobo. miungu iko mingi na alah ni mmojawapo. ni muungu wa waarabu hata wasukuma wana wao .
 
huwa nina wasiwasi na alah kama ndo Mungu tumuabuduye yule Mungu wa ibrahimu isack na yakobo. miungu iko mingi na alah ni mmojawapo. ni muungu wa waarabu hata wasukuma wana wao .
Ondoa wasiwasi kwanza halafu uje tujadili ukiwa na akili timamu.
 
Hivi unapoingia msikitini ukakuta watu wanapiga kuruani kwa kwenda mbele utalalamika kisa wewe ni mkristu..?! Na unapokwenda kanisani ukakukuta wagalatia tunapia biblia haswaa utasema unalazimishwa..
1. Hivi hizo hijabu zinazoitwa zinalazimishwa, haziko kenye JOINING INSTRUCTIONS?
2. Ambaye leo hii hana mtoto anajuwa kabisa kuwa shule zinazomilikiwa na dini tofauti na yeye zinaedesha mambo yake kwa mujibu wa dini ysje..WTF siku unapata mtoto uamue kumpeleka mwanao akasome kwenye shule ZITAKAZOKULAZIMIDHA KUFUATA MAMBO ULIYOKUWA UNAYAJUWA KABLA..?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Safi sana....wangewaacha tu tutengeneze watumishi
 
Mtizamo wake ulikuwa hasi kama kweli alitaka watoto wapate elimu ya dunia angewaacha wakirudi likizo anawapeleka madrasa.
mimi ni watoto 3 wanasoma shule
Roman catholic lkn nimewapeleka watoto ili kupata elimu bora.
na jioni wakirudi nyumbani mwl wa madrasa anawafundisha dini ya imani ya islam.na wanafanya vizuri sana pande zote shuleni na madrasa.
 
Ukumbuke watoto walikuwa boarding na muda waliokuwa shule ulikuwa ni mrefu, kama mzazi alikuwa na uhuru wa kuchagua elimu ya watoto wake.
 
Hilo la mafundisho labda dhehebu jingine lkn kwa RC ni lazima kusali kabla ya masomo,kulala na baada ya masomo.
maana nina vijana wanasoma shule za Roman catholic ndio hicho wanachonieleza.na pia huwa hawafanyi mtihani wa dini.
 
Ukumbuke watoto walikuwa boarding na muda waliokuwa shule ulikuwa ni mrefu, kama mzazi alikuwa na uhuru wa kuchagua elimu ya watoto wake.
Sawa lakini kipindi cha likizo angeweza kuwapeleka madrasa.
mimi ninavyoelewa shule huwa hazimlamishi mtoto kubadili dini ya ukristo.
ila lazima ufuate sheria za shule jambo ambalo hata ktk seminary za kiislaam zipo.
 
Ni kweli usemayo, shule hailazimishi ubadili dini lakini lazima ujiunge na wenzako katika shughuli nyingi, ingawa J2 hawalazimishwi kwenda kanisani lakini sala za asubuhi wanasali pamoja.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Watu nazan.hawajui mkuu,lengo seminary za Rc Nikumuandaa kijn kuwa padre,hakunaga mchanganyiko my b mchanganyo upite kwa njia ya nyuma
Kwa mfano kwa mbeya
Kuna.st Mary's mbaliz seminary hapa wanasoma wa RC pekeee
Ila pia RC ina shule pandahil hi wanasoma mchanganyiko wa dini yyt

Ila masister husoma.shule yyt na.shule za RC za girls zote huwa n mchanganyiko wa din mbali km
St francis,samartan girls,marian nk
 
Asalam alykhum ina maana ya "amani iwe nanyi" hii salamu hata yesu aliitumia sana.
Hebu nipe andiko linaloonyesha yesu alitufundisha tusalimiane 'Bwana Yesu asifiwe'
Ah ah ah ah ah Rc kipind nasali kila.nikienda nakuta salam zinabadilika
Tumsifu yesu kristu
Aman.iwe.nanyi

Na.nyingine.kibao

Pambanen tuu na din hizoo
 
Itakuwa ulipata mke wa.kiislam ww

Anyway
Pambana na hali yako

Ningekuona wa maaana km ungeachana na dini kabisa,yanini kuangaika??
 
Mi sijui wavae au wasivae ila wasichana wanaovaa hijab wanavutia sana. Tena ukute wamevaa hijab zao safi wenyewe wembamba warefu kisha wanafuatana kama watatu hivi. Dah huwa napenda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…