Hii ya leo kali sana sana


😂😂😂😂
 
Umeanza kwa mashambulizi ,umeanza kubedha waliofariki kwenye MO29 wakati mada ni traffiki kuchezeshewa kichapo ndiyo maana nikauuliza Sukari imepanda?
Sheria traffic haruhusiwi kuchomoa funguo wala kuchukua leseni
Kama leseni unamuonesha tu,matrafik wengi sheria hawazijuwi
Sema jamaa atageuziwa kibao kwa kumpiga traffic hapo ndiyo kazi

Ova
 
Hawa majamaa weupe sana, namna alivyokalishwa hapo kwa mtu yoyote mwenye ujuzi kidogo tu wa martial arts anapindua meza 😁 Hawa viumbe washukuru tu oktoba ziliwaokoa risasi
 
Kumbe jamaa alipaki service road, Nimeona taarifa ya jeshi la polisi inasema huyo jamaa nae yupo hospitali kalazwa baada ya kupigwa na wananchi ambao hawakupendezewa na alichofanya huyo jamaa etu mwenye kiuno size 12😃 sijui kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…