Hii ya Juma Pinto Inatisha


Woorrd.... Wengine humu ni ma typists tu, wanaropoka kwa kupitia vigajeti tu...
 
.......Nasikia katika hilo begi aliweka Unga na Twiga kama wale waliopelekwa Uarabuni.
 
...huyo ni samaki gani jamani...?wekeni foto...
 
WTF! Kwanini begi yake haijakuwa handled like everybody else's na kupitishwa kwenye screening machine? Can you answer that for shit's sake? Why should he be treated like a motherfcuking VIP? Na nani anamwonea wivu? You suck man! *** you!
Mkuu Ndjabu Da Dude, thank you, you mother fu.ker he is real a motherf..ng VIP!, begi lake halikuwa handled like everybody else's, because he is not everybody else!, he is somebody!. Kule mwanzo nimeisha kuambia who he is!, this is my answer for this shit's sake!, acha wivu you suck man!, na wewe you can just get rich and be somebody!, ili ukipita pale DIA, upokelewe mabegi yako yapitishwe off the screen!.
Na kwa taarifa tuu, zaidi ya hizo screens, kuna security cameras all over the place!, hivyo kupitishwa off the screen hakutoshi!, hizo security cameras zinazorekodi kila kila kila kona for 24/7, hivyo mizigo yote inayopita off screen, security chief anapaswa kuiona!, na baada ya hili tukio kuripotiwa humu jf, inawezekana kesho Mwakiembe atamsummon security chief, kuscreen security footage at that particular time, na atakuta the security camera, just wen't off! at that specific moment!. Hiyo kitu inaitwa "connections!", just get rich and get "connected!", vinginevyo just shut up you big Fu..en mouth "n" Fu.k U2!.​

Hii ndio Bongo!, hutaki, unaacha!.

Pasco.

NB, sorry kwa wale ambao hawajanizoe na lugha hizi, niliishazitumia zamani, hivyo ninapokutana na hawa vijana wenye usongo wa maisha kutokana na kuwaoneo wivu kila wenye nacho, hivyo kutukana watu mwanzo mwisho, sio mbaya kukumbushia!.
 

Pasco thread yako ya diplomatic bag imeyeyuka?
 
Last edited by a moderator:

unafkri naunga mkono hoja nimenukuu maneno yako
kuonyesha kumbe nchi hiii uharamia unaruhusiwa na ukitaka uonekane una wivu bas sema ukweli
 
We Pasco, kwani Juma Pinto naye ni VIP? Tangu lini. Historia fupi ya Pinto ni hii: Alisoma sekondari ya Alharamain mpaka kidato cha nne, ingawa matokeo yake hayakuwa mazuri. Alicheza soka kwenye timu ya Pan African miaka ya 1990s, kabla ya kuibukia kwenye magazeti kama mwandishi wa habari za michezo. Baadaye alipewa nauli na kibopa mmoja ili aweze kwenda UK kwa dada yake. Inasemekana akiwa huko alijilipua na hivyo kushindwa kurejea nchini mpaka rafiki yake JK alipoingia madarakani. Akiwa UK hakuwa na shughuli yoyote ya maana zaidi ya kutumwatumwa na dadake. Mambo yake yalianza kubadilika kidogo alipoanzisha kampuni ya Jambo akiwa UK. Ilikuwa ni kampuni ya kawaida sana hadi alipopewa dili ya matangazo na JK. Hiyo dili ilikuwa ni shukrani baada ya yeye kumkaribisha na kuishi na Riz1 pale alipoenda kufanya masters UK ingawa alifeli na kurejea nyumbani. Pinto alifanikiwa kupata pasi ya kusafiria na kurejea nyumbani huku akiendelea kupewa upendeleo maalum katika masuala mbalimbali. Hivi sasa ni mshirika mkubwa wa Riz1 kwenye biashara. Sina uhakika kama wanafanya pia biashara haramu.
 
Pasco wa JF,hiyo post uliyoitoa kumsafisha pinto imekuvunjia heshima humu JF ya kutetea wauza unga,kama pinto na michuzi wametoka kwa kulamba miguu ya la profeseli na wewe unafuata njia hiyo hiyo ya kulamba miguu ya wauza unga na mafisadi wa nchi hii,acha hiyo tabia mara moja,hapa napata picha hata deal za kampuni yako ya utangazaji inayopata project za 77 na 88 na halfa za ppf/nssf/tpdc kwamba umetumia njia hiyo hiyo ya kuwalamba miguu,nyie ndio waandisha makanjanja mnaodidimiza tansia ya uandishi kwa kuwafanya wale wanaoandika ukweli na wasionunulika kupata shuruba kama kina kibanda na kubenea!
 
Last edited by a moderator:
Mzee Punch, kwanza asante kwa kuja na ukweli huu!, tangu thread hii imeanza, nadhani hii taarifa yako ndio inaonekana ni ukweli halisi una hold water!. Nimeipenda zaid closing remark yako,
Sina uhakika kama wanafanya pia biashara haramu
, na hapa ndipo ulipolala mzizi wa fitna, kama mtu hana uhakika, hawezi kutuhumu!.
Hilo la kuwa VIP bongo, ukiwa nazo wewe ni VIP!, hata muhuri wa ikulu unapata!.

Umasikini mkubwa sana kwa sisi Watanzania ni "umasikini wa fikra!", tafuta historia ya Mengi!. find out aliishia darasa la ngapi na waliosoma nae watakuwa how poor he was darasani!, akapambana na yeye akaenda UK, huko akasomea account, find out hiyo course ni ya muda gani, na yeye alichukua muda gani kumaliza!, but he made it and came back to tanzania with "idea!". Find out SS Bakhersa amesoma wapi, amesoma nini, ameishia darasa la ngapi, na ameanzaje!.

Bill Gate alifika hadi chuo kikuu, ila kwa vile he had "the idea", aliacha shule to pursue his "idea!".

Kama ulivyo umasikini mkubwa kabisa duniani ni "umasikini wa fikra!", vivyo hivyo, utajiri mkubwa kabisa duniani ni utajiri wa "ideas!", haijalisi ulianza vipi, kama una "idea" uka make money, the end justifies the means!, na ukiishakuwa nazo, unaheshimika bila kujali umezipataje!. If he was nothing, akaanzisha "Jambo" hilo "jambo" likaleta pesa, then he is brilliant!.

Matajiri wote duniani ili watajirike, ni lazima wawe "connected", "michongo!", kama "kijana" ni rafiki yake!. kupitia urafiki na "kijana", alikuwa na "idea!" akaipenyesha kwa "mshure!", mshure akaikubali na kuifacilitate!, that is all about "ideals" and getting "connected!".

Kuna mahali nilicomment humu, "umasikini uliotopea ni sheedah!", kuna sisi masikini, shauri ya kukerwa na umasikini wetu, hatufanyi juhudi zozote kujikwamua toka katika lindi la umasikini, tunaishia kuwaonea viwu kila wenye nacho!.

Angalau wewe umekuwa very frank, kukiri huna uhakika, kama anafanya biashara haramu!, kwa matajiri wa bongo, the dividing line between halali na haramu ni very thin!, Mzee wa vijisenti, wamemsema sema, sasa ndie huyo aliyewatungia katiba!, ni shujaa wa taifa sasa!. Membe amesemwa semwa na fedha za Gadafi, sasa ndio hizo zinapalilia njia ya ikulu!. "Jamaa yangu" yule amesemwa sana kuhusu ufisadi, mara richmond, mara afya yake!, hiyo 2015, ndie yeye sasa atakayekuwa, na watu humu watafunga midomo!.

Tanzania with money, everthing is possible, unaanza kuwanunua watu kwa t-shirt na kofia, kisha kwa pilau ya siku moja, siku ya mkesha wa uchaguzi!, hadi unainunua ikulu yenyewe na kuwa mpangaji!.

Pasco.
 
Nadhani unahitaji uwe na jicho la tatu kumwelewa Pasco, ukiangalia comment yake ni kama anamtetea Juma Pinto lakini si hivyo, kwa comment hii ndo naanza kumwelewa Pasco!
 
Pasco for the sake of this post you pointed out things very very crucial
 
Last edited by a moderator:

Hizi motto za get rich or dying trying
Ndio zimepelekea kushamiri biashara za madawa ya kulevya

Get rich or die trying; tembo wetu wanakaribia kuisha wajukuu zetu wataishia kuona picha kma tunavyoona picha za dinosaurs Leo

Get rich or die trying: watumishi wa umma kupokea rushwa wazi wazi na kuingia mikataba isiyo tija

Get rich or die trying;walimu badala ya kufundisha anauzia watoto ubuyu

Get rich or die trying; matapeli wakubwa kwa mgongo wa dini


All hustlers out there keep getting rich or die trying
 
Mkuu King Kong, kwanza asante kwa hii, hili la kuambiwa nimejivunjia heshima, kila siku linaibuka humu, siku zote jibu langu huwa ni moja tuu, ili hiyo heshima nitakayo jivunjia, ivunjike, kwanza ni hiyo heshima yenyewe lazima iwepo ndipo ivunjwe!, kwa bahati mbaya sana, Pasco wa jf, hata hiyo heshima yenyewe hana!, haipo, hivyo hakuna heshima iliyovunjika kwa sababu hata hiyo heshima ya kuvunjwa haipo!.

Sitetei mtu, ila huu ndio ukweli halisi, Tanzania ya sasa, pesa ndio kila kitu!, na haijalishi umezipataje, wala unafanya nini to make them, as longo as una pesa, utapata kila utakacho, na ukipata, the end justify kila kitu!.

Mimi wa Pasco wa JF nilikuwa mwandishi tangu enzi za rais Mwinyi, tukiwa Tambaza, japo sio darasa moja, sisi tukiwa O Level, mtoto wa Mwinyi na mtoto na mtoto wa Malecela na tulijua pale Tambaza, kama ni lobbying si ninge lobby?!.

Kwenye Tambaza hiyo hiyo tena darasa moja!, same class, tumesoma na mtoto wa Ben!, Ben anaingia madarakani tunamuona hivi na huku mtoto wake ni rafiki!. Kwa nini nisilobby?!. Kwa Ben mimi nimepelekwa hadi kwa baba na mama na kuwa formerly introduced kuwa huyu "tumesoma nae!", nyie Ben mnamuita rais, sisi tunamuita "baba so and so!", kama ni ku lobby, si ningelobby!.

Nimeacha journalism nikaenda UDSM, kitivo cha sheria, pale nimekutana na mtoto wa Jakaya he is like a friend!, kama ni ku lobby hapo si ndio pangekuwa penyewe?!. Na kama hujui, baada ya kumaliza UD nilipata kazi ya maana sana FCO, nikiwa ndie mshauri wa siasa wa Balozi wa UK hapa nchini, a well paying job!, niliacha mwenyewe kwa ridhaa yangu, huku nikibembelezwa!, just to pursue my "idea" ya PPR!.

Zile project za 77 na 88 na hafla za ppf/nssf/tpdc etc, zote zinatangazwa kwenye GPN watu wanaomba, tena kwa hili ningepaswa kupongezwa ni mimi ndio nilianza kutangaza kama mtangazaji "private!", sasa unaniona nikipungua wamekuja vijana kina Kibonde, Jerry Murro, na watangazaji kibao sasa ni private, hivyo soon nitatoweka na kuibukia mahakama kama advocate wa High Court, nakuhakikishia hakuna lobbying yoyote wala halam,biwi mguu mtu yoyote!.

Hata utetezi wangu kwa EL, right hand man wake anaitwa Abou ni dam dam na mimi, lakini amini usiamini, sijawahi hata kusalimiana nae hata shikamoo tuu, tangu ameanza harakati za kuitafuta ikulu, japo kila kukicha natia timu ofisini kwake kumuona Abou!.

Ni kwa kuto lobby huku kumenipelekea mimi kubaki masikini, ila amini usiamini, kuna masikini jeuri, wako radhi kulala njaa, huku jirani next door akimwaga chakula!. Bora kufa njaa kuliko kuwa omba omba!. Mimi ni masikini jeuri wa type hiyo, na enjoy umasikini wangu lakini halali, kuliko ku lobby popote!.

Wapo matajiri wenye utajiri mkubwa wa mali, lakini ni masikini wa roho, wana mali lakini hawana furaha, na wengi huonyesha furaha machoni, lakini mioyoni ni huzuni kutokana na walichofanya kupata huo utajiri, lakini tuna masikini wengi, wenye umasikini wa mali, lakini ni matajiri wa roho, wenye furaha ya kweli moyo na maishani, licha ya kuishi kwenye lindi la umasikini uliotopea!.

Pasco.
 
Pasco sio lobbying zote ni tatzo nimeona umejaribu kuonyesha kwamba hutaki kufanya lobbying ya aina yoyote. hata kwa walioendelea hua zinafanyika ila wewe unaepewa upendeleo unatakiwa uperfom to the maximum
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…