Hii ya Juma Pinto Inatisha

Acha uongo wewe,Somaiya Group hawawezi kujiusisha na hako ka chori tanil,Hao Somaiya Group ni familia kabla Tz haijapata uhuru wao wana hela,wakati huyo ponjolo tanil ametokea Mwanza walikuwa na kiduka kidogo tu tena juzijuzi miaka ya 80,hiyo Somaiya Groip ni kama wakina Karimjee na familia ya Yusuph Manji wanahela tangu enzi ya mkoloni
 
Moja kati ya post bora kabisa kuwahi kutokea JF.
Sijui uliwaza nini hadi ukajiita Mdakuzi!
Hakika unastahili,hongera.
And....
Am proud of you.

Dah! Hujui ni kiasi gani nimefurahi kwa pongezi hizi. Nimeshapokea pongezi nyingi toka kwako, ila hii ni aina yake. Asante sana Nifah wangu.

Ova
 
Juma Pinto ni owner wa magazeti ya Jambo Leo na ndiyo wenye ule mzigo mzito alioshikwa nao Masogange kule South Africa lkn serikali ikaiingilia kati, mzigo ukaruhusiwa. Nchi imekwisha hii
Jambo Leo ndio wametoa gazeti la leo bure?? Hii movie itakuwa ya kijapani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nlichojifunza kwenye post za bwana mayala ni kuwa unaweza hisi anamsifia mtu ama jambo lakini ukisoma kwa makini unakuja kugundua kumbe anajaribu kufikisha ujumbe tafauti kwa namna ambayo waerevu tu ndio watang'amua
Read between the lines
 
Makonda Usipowataja hawa watu katika Phase zijazo basi movement yako itakuwa ipo kisiasa na tutaipigia kampeni kwa wananchi waidharau.

-Kinje
-Juma Pinto
-Riz1
-Masogange
-Rumishael Shoo.
-Zungu MB Ilala.
-Mchungaji Rwakatare
-Nabii Mwingira.
-Dida Mchops.
-Muna Luv.
-Diamond.
-Masanja Mkandamizaji.
-Fundikira (Ex wa Jack Patrick)
-Jux
-B12
-Salaah and Co(GSM)
-Salaam
-Fela
-Tale
-Ruge
 
: wanapata wapi kiburi yaani hata hawajui kama kuna Rais wanawaza hela tu, hatari sana hii nchi,ndio maana Trump anahitaji atutawale tena kama ukoloni
 
Juma Pinto ni owner wa magazeti ya Jambo Leo na ndiyo wenye ule mzigo mzito alioshikwa nao Masogange kule South Africa lkn serikali ikaiingilia kati, mzigo ukaruhusiwa. Nchi imekwisha hii
Mbona mange hamtaji huyu? Anang'ang'ania wasiohusika kwa chuki zake The world is not fair
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…