umedadavua vizuri sana,na hapa ndo mjadala unapaswa kuanzia,je hao jamaa waliomba uraia?????Mkuu sheria za u raia na sheria za ukimbizi unazifahamu?. Kama hauzifahamu ungeenda kuzisoma kwanza kwa kirefu.Umesema hao watu wengine wapo Tanzania kwa zaidi ya miaka 25,Kwa faida yako na wengine nakumegea kidogo sheria ya uraia kwa kuzaliwa. Inasema mtu yoyote akizaliwa hapa nchini ingawa wazazi wake ni wa asili ya nchi nyingine,anakuwa moja kwa moja ni raia kwa kuzaliwa. LAKINI mtu huyo,akifikia umri wa miaka 18,atatakiwa kwenda uhamiaji na kufuata utaratibu wa KUUKANA URAIA WA WAZAZI WAKE ILI ABAKI NA URAIA MMOJA TU. Jambo hili wote wanaorudi makwao walikuwa hawataki kulifanya hata baada ya kuelezwa,je tuwaeleweje,kweli wameonewa hapo?. Inasemekana Jenerali Ulimwengu alikuwa na kesi kama hiyo hapo juu,lakini alipoelekezwa alielewa akafuata masharti na sasa ni raia halali wa Tanzania!
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
Mbona haiumi. Yaani watu kurudi makwao wewe inakuuma? Basi kazi unayo kama ndio hivyo.
hili jamaa litakuwa likimbizi,wataanza kusema tanzania ni nchi yao,kama wanavyosema kivu ni ya kwao!kwahiyo ulikuwa unataka kusema nini juu ya hao watutsi wenzio?
mkuu na wewe unasubiri nini kurudi kigali?wanajf, aliyetegea sikio bbc dira ya dunia . Taarifa ya devid mwampesia inauma sana kuhusu wanyarwanda na warundi walioondolewa tanzania.
Wengine waliolewa tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
Sisi watanzania tuna roho mbaya sana hatuna utu moyoni
Kama walikuwa wanajijua ni watanzania au wanavibari vya kuishi nchini kwetu, kwa nini waliondoka? hakuna cha huruma hapa, lazima waheshimu taratibu za kuishi katika nchi ya kigeni.