Hii ya BBC inauma kwa Mwenye utu

Hii ya BBC inauma kwa Mwenye utu

WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.

Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .

Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?

Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?

Utu gani unaouzungumzia wewe? Yaani unataka tuendelee kukaa na wahamiaji haramu hapa eti kwa huruma ya utu? Wala hatuwezi kuwahurumia eti kwa vile tu waligawa uroda kwa wa-TZ hiyo sahau. Warudi kwao bwana mbaya zaidi unaweza kukuta hata hao watoto waliozaliwa kwenye hizo ndoa haramu walizaa na Watutsi wenzao kama akina Kabila walivyofanya, baada ya muda mtajikuta mko chini ya utawala wa Watutsi.

Kama walipiga kura ilikuwa zamani siyo sasa hivi, hiyo imekula kwao warudi walikotoka!! Na sisi wa-TZ wakati mwingine tunaonekana kama mazombie fulani hivi!! Eti huruma na utu?????
 
"ndo naendelea ku-scroll huenda nikakuta anachotaka kuandika"
hata mimi mbado naskro dauni
 
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.

Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .

Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?

Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?

kwa hili hamna huruma, mwamiaji haramu ni haramu tu, hamna kitakachomfanya asiharamishwe kama hataki kufuata sheria za uhamiaji.
 
Walipigia kura chama gan!? na je ni miongoni mwa wanachama mil 6?!
 
Hao jamaa walijishtukia wenyewe hawakupaswa kuondoka. Wange state their case na kusubiri ruling. Wameogopa wenyewe wakaamua kuondoka sasa wanalalamika. People should be responsible with their decisions.
Eboooooooo......
 
inasikitisha kwa hao wazee, lakini wangeendelea kuwapo hapo baadae lingeanzishwa jeshi la waasi la kitutsi 'M-something' halafu likadai kuwa linatetea maslahi ya wazee hao hao kama ilivyotokea congo. hata congo walianza hivyo hivyo kama wahamiaji haramu wasio na uchungu wowote na congo. kinachotokea leo unaona mwenyewe
 
Huyu nampesya ni mnyarwanda ndugu zake wote wapo ngara nawajua sana.
Hapa sasa ndipo unapopotea. Badala ya kujadili hoja unajadili mwandishi. Yeye ameripoti kilichotokea. Sasa angekuwa mwandishi ni mchina au mkenya ungesemaje?
 
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.

Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .

Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?

Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
Nadhani jibu unalijua kuwa hatukua na vitambulisho vya uraia kama ilivyo zbar. Matokeo yake ni kuwa tulikuwa
tunachukulia kijumla kuwa madam fulani amezaliwa tanzania basi uraia wake haukuwa na mushkeli. Lakini suali la kujiuliza ni kuwa kwani hawa jamaa hawakufanya utaratibu wa kuomba uraia? mnakumbuka ile saga ya jenerali ulimwengu? the guy grew up here and went to school up to university na akawa anatumikia nchi kama mtanzania yeyote yule lakini mwisho wa siku wote tulishtuka tuliposikia kuwa siyo mtanzania. mwanzo nilifikiri ni njama za kisiasa lakini baadaye baada ya yeye mwenyewe kuprocess uraia wake kwa kuukana ule wa wazee wake amebaki kuwa mtanzania mzalendo halisi
 
Walipigia kura chama gan!? na je ni miongoni mwa wanachama mil 6?!

si miongoni tu wa wanachama mil 6 pia ni miongoni mwa wale mil 42 wa sensa kabla jamaa hawajaleteana bifu inabidi wakishaondolewa wote pia daftari la sensa lirekebishwe.
 
Walipigia kura chama gan!? na je ni miongoni mwa wanachama mil 6?!

mbunge wao si katoka chama tawala . Ni miongoni pia wa wale mil 42 wa sensa inabidi wakishaondoka wote daftari la sensa pia lirekebishwe.
 
wenye roho mbaya hawasemi, tuna roho mbaya lakini ni wavumilivu. tumewavumilia miaka yote hiyo lakini hamna adabu. nendeni kwa baba yenu kagame, mnafanya nini kwetu wakati nchi yenu inaamani?
 
Wakina Rwakabamba wako wengi sana nchini mwetu ni lazima tuwafahamu kwa usalama wetu!!
 
Wanajf naomba kumbukeni sisi sote ni ndugu enzi za kutafuta uhuru wetu tulikua kitu kimoja au tumesahau mawaidha ya wazee wetu .

Wapigania uhuru wa nchi hii wakiongozwa na hayati mwl Julius Nyerere , Kwame Nkurumah Agustino Neto na Mkongwe wetu Nelson Mandela walifanya Afrika tuwe kama taifa moja wandugu.
 
Back
Top Bottom