Hii ya BBC inauma kwa Mwenye utu

Hii ya BBC inauma kwa Mwenye utu

Mkuu sheria za u raia na sheria za ukimbizi unazifahamu?. Kama hauzifahamu ungeenda kuzisoma kwanza kwa kirefu.Umesema hao watu wengine wapo Tanzania kwa zaidi ya miaka 25,Kwa faida yako na wengine nakumegea kidogo sheria ya uraia kwa kuzaliwa. Inasema mtu yoyote akizaliwa hapa nchini ingawa wazazi wake ni wa asili ya nchi nyingine,anakuwa moja kwa moja ni raia kwa kuzaliwa. LAKINI mtu huyo,akifikia umri wa miaka 18,atatakiwa kwenda uhamiaji na kufuata utaratibu wa KUUKANA URAIA WA WAZAZI WAKE ILI ABAKI NA URAIA MMOJA TU. Jambo hili wote wanaorudi makwao walikuwa hawataki kulifanya hata baada ya kuelezwa,je tuwaeleweje,kweli wameonewa hapo?. Inasemekana Jenerali Ulimwengu alikuwa na kesi kama hiyo hapo juu,lakini alipoelekezwa alielewa akafuata masharti na sasa ni raia halali wa Tanzania!


Kikwete aliwahi kukana uraia wa Burundi ? Wazazi wake wana asili ya Burundi, kumbuka JK na Ulimwengu ni rika moja.
 
Back
Top Bottom