Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,095
- 871,274
- Thread starter
- #21
Seriously usingesema nisingejua kama ni AI generatedTeknolojia inataka watu wakalime sasa,hii inawezekana
Mimi napenda sana music wa Elwctronic (EDM) Na mwanamuziki anayenivutia sana kwenye EDM ni Alan walker,na pia licha ya kupenda nauelewa pia njia zake na rythm zake..Huu wimbo nimeutengeneza kwa AI niliandika lyrics mwenyewe nikaicommand AI Kutaka wimbo uwe Alan walker style na prompt nyingine pale ndani ya dk moja nkapata wimbo perfect,nikachukua hatimiliki huu wimbo naweza kuusambaza Spotify,youtube nk.