Hii video ya John Heche imewaumiza sana wananchi

Hii video ya John Heche imewaumiza sana wananchi

Unaposikia Taifa strong la USA, China, Russia nk unazungumzia watu shupavu na sio watu laini laini wanaowaza familia zao na wao kuishi vizuri kuliko future ya Taifa
Urusi aiweziku kubali kibaraka kama Heche na Lisu wakatawala majukwaa kueneza uongo na porojo amshukuru Rais ni mpole

Waendelee kujidanganya hivyo hivyo
 
Kwa maneno yake mwenyewe mh.Lissu amesema analeta UHAINI kwa kukichafua nchi nzima....

Heche aache ujinga wa kitoto....

#Taifa kwanza vyovyote iwavyo!
 
Ukute wewe ni mtu mzima hat 60+ huko. kenge kweli,😡 dawa zinawaingia eenh!!mtakuja tukanwa na watoto wenu humu🚮🚮🚮🚮. Acheni kucheza na akili za watu..ni vibaya😡😡😡😡😡😡
 
Back
Top Bottom