Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Ligi za barabarani ndio ilikuwa michezo yangu but toka nimeoa na kuwa na familia nimepunguza manake naogopa kupasua nyanya/kupata ajali.....
Hereinbelow is one of my race nikiwa na Crown Athlete....
I was a dumb mthefcker racer...
Mzee dashboard taa kibao alafu unamaliza kisaani..

Hahaha kuna watu makatili sana aisee..
 
Siyo ligi, mimi binafsi huwa napenda kumark gari moja na kutembea nyuma yake na huwa sipendi aniache sana, mkitembea kwa pamoja muda mrefu mnakuwa kama ndugu kiasi kwamba akikuacha muda hasikuone hujikuta akijiuliza yule jamaa kapata shida gani, na husishangae anakusubiri na ukipata shida husishangae mnakesha wote barabarani, so huu ni urafiki wa magari unaojijenga automatically. Magari yanafahamiana bwana!
Mimi huwa napenda hivi pia..

Na matured people wengi hupendelea hivi. Ukiwa unatembea kwenye mwendo unaoridhisha tuseme 100km/h mpaka 120km/h mtu ambaye ni mature na anaijua barabara atatembea na wewe tu na sio kutaka kijimwambafy..

Kuna siku naenda mkoa nikakutana na VW nikabaki nae nyuma nyuma nikawa natembea nae. Jamaa akaninotice basi ikawa ni mwendo ule ule tu na tulitembea kwa zaidi ya 100km pamoja. Ghafla nikapiga shimo moja nikiwa kasi nikaona nisimame nikague gari. Yule jamaa naona akanotice, akaenda nae kusimama mbele kidogo nikamwonyesha tu ishara niko poa sio tatizo. Tukaendelea na safari, sehemu ya kula tukafika pamoja na urafiki rasmi ukaanzia hapo. Mpaka leo jamaa ni mshkaji wangu sana na mara kadhaa tunaalikana kwenye viti virefu kupunguza stress..

Haya mambo mtu unatembea above 150km/h kwa barabara zetu ni kutafuta kufa tu..
 
Mkuu inawezekana ulikuwa hauendi mbali sana.
Ninaamini ukiwa na gari nzuri.
100km/hr ni speed kidogo sana.
Huu mwendo wabaki nao wenye spacio, passo, corrola,vitz nk .

Assume unaenda Mwanza kutoka Dar na una hiyo VW Toureg.
Ukisema unaishia speed 100km/hr.
Utaboeka sana njiani.
Raha ya gari nzito itembee walau kwa average ya 140km/hr.
Hata kama haushindani na mtu.
 
120km/h is enough boss kwa sehemu nyingi za barabara zetu..

Kuna sehemu ni mzuri yes unaweza kanyaga mpaka 140km/h lakini hii isiwe ndio average speed yako..

Alafu mi naona watu wanaokimbia ovyo barabarani akikutangulia sana ni dakika kadhaa tu.. Unakuta labda sehemu ya kula au mbele kuna traffic check unamkuta ndio kwanza na yeye kafika muda huo huo..
 
Kucheza na onboard computer ya gari ni kitu hatari sana, walio-programme hizo computer ili kuzuia gari isizidi speed ya 180kph hawakuwa wajinga.
Wala hakuna hatari yoyote, inafanyika tuning ya kawaida tu.

Zimewekewa limit ya 180km/h sababu tu ya sheria za nchi yao(Japan).
 
Si vyema kufanya tuning kwenye uhai wa mtu..
__________________________________
IG: @marble_na_granite
 
Mimi huwa napenda hivi pia..

Na matured people wengi hupendelea hivi. Ukiwa unatembea kwenye mwendo unaoridhisha tuseme 100km/h mpaka 120km/h mtu ambaye ni mature na anaijua barabara atatembea na wewe tu na sio kutaka kijimwambafy..

Kuna siku naenda mkoa nikakutana na VW nikabaki nae nyuma nyuma nikawa natembea nae. Jamaa akaninotice basi ikawa ni mwendo ule ule tu na tulitembea kwa zaidi ya 100km pamoja. Ghafla nikapiga shimo moja nikiwa kasi nikaona nisimame nikague gari. Yule jamaa naona akanotice, akaenda nae kusimama mbele kidogo nikamwonyesha tu ishara niko poa sio tatizo. Tukaendelea na safari, sehemu ya kula tukafika pamoja na urafiki rasmi ukaanzia hapo. Mpaka leo jamaa ni mshkaji wangu sana na mara kadhaa tunaalikana kwenye viti virefu kupunguza stress..

Haya mambo mtu unatembea above 150km/h kwa barabara zetu ni kutafuta kufa tu..
Hii style naipendaga sana pia, unafata nyuma tu. Niliwahi fata Land Cruiser VX flani toka HiMo jamaa alikuwa relaxed ni 80-120 sema nilipofika Mombo nikaingia hotelini tukapotezana.
 
Hujaelewa ninachomaanisha mamy
Nachomaanisha, japan kutokana na sheria zao lazima gari iwe na odometer ya 180kmph, yaan iwe limited isizid 180kmph( japo unaweza itoa kama fundi anajua)

Ukiona gari za japan zimezidi apo, lets say STI ni wanalipia ili kupata vibali
Ndo mana unaweza kuta ZX VX za ikuru zinasoma 280 uku za mitaani zinasoma 180
Crown athlete ukicheki internet wanasema top speed yake ni 260 wakat dashboard ni 180
Wakat audi a4 top speed yake ni 230 ila kwenye dashboard ina adi 280 (kmph)

Ko inategemea na sheria ya nchi mkuu
Upo sahihi kabisa, na evidence ni Lexus IS250 ambayo inashare engine ya 4GR-FSE na Crown na Mark X.

Lexus ni kwa ajili ya soko la marekani yenyewe ina 260kph on Dash ila ni the same engine sema wamefanya extension kweye ECU tu.
 
Jf inafurahisha,kuna kipindi tulifanya ligi ya Mwanza to Dodoma yalikuwa magari manne tote V8 sasa sisi tulikuwa vijana watatu na dingi mmoja amevuka 50yrs,mzee tulimpeleka mbaya,, ila utu uzima dawa yule dingi baada ya kuona ligi sio ya kitoto alituovertake wote akatembeza V8 tukawa hatumuoni,huko mbele akaingia machakani akaficha gari sisi tukapita mafuta mabaya tukimtafuta yeye huku nyuma akatoka machakani na kutembea mwendo wake anaoutaka yeye. Yaani tulishindwa hata kula Singida hatuamini kilichotokea,dingi alitukuta Dodoma akatucheka na kujiona wa hovyooo
Its kind of old school but effective ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom