Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,511
Kwahiyo zile zinazodisplay at dashboard let say kisahani kizima ni 180 ni zaidi ya hizo?
Hujaelewa ninachomaanisha mamy
Nachomaanisha, japan kutokana na sheria zao lazima gari iwe na odometer ya 180kmph, yaan iwe limited isizid 180kmph( japo unaweza itoa kama fundi anajua)
Ukiona gari za japan zimezidi apo, lets say STI ni wanalipia ili kupata vibali
Ndo mana unaweza kuta ZX VX za ikuru zinasoma 280 uku za mitaani zinasoma 180
Crown athlete ukicheki internet wanasema top speed yake ni 260 wakat dashboard ni 180
Wakat audi a4 top speed yake ni 230 ila kwenye dashboard ina adi 280 (kmph)
Ko inategemea na sheria ya nchi mkuu