Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,511
Nimecheka sana kunavideo ilisambaa ya hapa hapa bongo jamaa ana crown athlete alipigwa na golf akiwa 180 af wanaongea jamaa anasema daaaah kunawanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alipitwa
Inamaana alikuwa mbele
Basi inamaana crown ilikichafua zaid ila ilipofika speed iliolimitiwa haikwenda juu zaid