Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Aisee!
170km ukienda kwa speed 170km/hr utatumia 1hour. Ukienda kwa 160kph utatumia zaidi ya 1hr since 160kph QUOTE]One hour ni sawa na dakika 60.
Dakika 70 ni One hour and 10minutes.
 
Mbeya - Makambako ni km 170 tu.... ukitembea kwa 160kph haizidi dk 80, plus matuta na vitu vingine. By the way Dar Mbeya ni km 820 tu. Ukipiga hata average ya 100kph ni masaa 8. Ukiachana na Kitonga + Iyovi, maeneo mengine yote kama usiku unapiga 140-160 bila shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
 
Mkuu barabarani kuna vichaa... nawajua wana fulani hivi, huwa wanatoka hapa Dar saa 4 usiku kwenda club Moshi, Gari 10. Usijaribu kuwaiga, mwendo ni 250kph!
 
Hiyo ilikuwa ni league ya kuwahi kufika mbinguni,sema Mungu hakuwahitaki kwa wakati huo
Wakuu, nimezoea sana kutembea safari ndefu haswa Dar-Kahama-Geita na Dar-Mwanza, mara chache Dar-Bukoba.
Mara nyingi napenda kusafiri jioni au asubuhi sana.

Hizo route nilizozitaja hapo juu hazina Magari madogo mengi usiku, zaidi ya malori na mafuso. So huwa hatujui mambo ya ligi kabisa.

Kuna hii route ya Arusha-Dar na ligi huwa inaanzia pale Njia panda ya Himo, wakuu kuna watu wanapenda kushindana sana, kwenye barabara.

Juzi kati hapa tumetoka Arusha kwenda Dar tulivyofika Pale Njia Panda ya Himo, kulikuwa kuna gari kama tatu ndogo, Mark x nyeupe, Murano moja nyeusi na Alphad ya Silver, plan niliyokuwa nayo nikupoteza muda pale Njia Panda, at least usumbufu upungue barabarani kumbe zile gari zilikuwa zinatafuta abiria wa Dar, mimi kwenye gari ninayoendesha tulikuwa watatu. Sikuwa na wazo la kuchukua abiria.

Ilivyofika saa kumi na mbili kama na nusu hivi yule jamaa wa Alphad akang'oa, baada ya kama dakika kumi, Mark X akang'oa.
Hapo nimepaki upande wa pili wa barabara.

Ukapita tena muda kidogo Murano akang'oa...Tukamaliza mambo yetu tukaanza kuondoka, nilijua nikipiga mashine vizuri nitaenda kuwatoa kabla hata hawajafika Same!!
Tumeanza kutembea sio kwa speed kali hiyo jioni jioni ya saa moja bado watu ni wengi barabarani na mibasi + magari makubwa mengi yakitoka Dar kuja Moshi, Arusha.

Haikuchukua dakika nyingi saana kufika Mwanga, nikaiona ile Murano ndio inaondoka, nikajua labda alikuwa anaongezea abiria, nikawa nimempita mbele kabla ya Kisaranga nikaipita na ile Mark x, Alphad sikuiona. Giza linazidi kuongezeka naona na barabara inapungua jam.

Tumepita Lembeni kwenye Kivuko cha treni jamaa wa Mark X akaovertake kwa speed kali kuianza Tambarare flan hivi kuelekea Same, hapo ndio ikawa shughuli hakuniacha mbali sana, kabla ya sehemu inaitwa mgagao Murano akaniovertake akaenda akaovertake na mark x..

Baada ya Murano kunipita nikagundua Mark X kaongeza speed zaidi kwasababu alianza kuniacha kwa mbali kidogo.

Nikagundua hawa watu kama vile wanafanya ligi hapo road, nikaamua na mimi kujihusisha nao, ule mtiti haukuwa wa kawaida Tukaanza kutembea sasa pita nikupite ikaanza, jamaa wa Mark X tulikuwa tunamuacha sana...

Mpinzani wangu mkubwa alikuwa jamaa wa Murano, hadi tunafika Korogwe, kwenye kona yakuelekea Old Korogwe, kuna beria, tukamkuta jamaa wa Alphad pale na gari nyingine ndogo mbili, zote zinaenda Dar, ebwana eeh kama ni ligi ndio ilikuwa kama vile inaanza piga nikupige,

Jamaa walikuwa wanatoa changamoto sana, hata kusinzia huwezi muda wote unawaza kumtangulia aliyeko mbele yako na kutokukubali aliyeko nyuma yako akupite! Huu mfumo ulifanya tukafika Dar mapema sana! Huu utaratibu wa Ligi kwenye hii barabara sijui kama ni wa kila siku, Kuna mashindano sana.

Ni barabara yenye ligi tena matata sana.
Kuna MwanaJf anayependa ligi barabarani, share na sisi.
sidhani kama ulimshukuru Mungu baada ya kifika salama
 
.
2291108_photogrid1428518710805_jpeg61e19a161cdc9f0d66bd322f3709ee7f.jpeg
 
Kuna MwanaJf anayependa ligi barabarani, share na sisi.
siku moja nipo na kibaby walker changu (allex) kuna jamaa na cruiser lake akataka kunichukulia poa ila alichokipata hatakaa asahau... hii ilikua route ya Dar-Mbeya
 
Wakuu, nimezoea sana kutembea safari ndefu haswa Dar-Kahama-Geita na Dar-Mwanza, mara chache Dar-Bukoba.
Mara nyingi napenda kusafiri jioni au asubuhi sana.

Hizo route nilizozitaja hapo juu hazina Magari madogo mengi usiku, zaidi ya malori na mafuso. So huwa hatujui mambo ya ligi kabisa.

Kuna hii route ya Arusha-Dar na ligi huwa inaanzia pale Njia panda ya Himo, wakuu kuna watu wanapenda kushindana sana, kwenye barabara.

Juzi kati hapa tumetoka Arusha kwenda Dar tulivyofika Pale Njia Panda ya Himo, kulikuwa kuna gari kama tatu ndogo, Mark x nyeupe, Murano moja nyeusi na Alphad ya Silver, plan niliyokuwa nayo nikupoteza muda pale Njia Panda, at least usumbufu upungue barabarani kumbe zile gari zilikuwa zinatafuta abiria wa Dar, mimi kwenye gari ninayoendesha tulikuwa watatu. Sikuwa na wazo la kuchukua abiria.

Ilivyofika saa kumi na mbili kama na nusu hivi yule jamaa wa Alphad akang'oa, baada ya kama dakika kumi, Mark X akang'oa.
Hapo nimepaki upande wa pili wa barabara.

Ukapita tena muda kidogo Murano akang'oa...Tukamaliza mambo yetu tukaanza kuondoka, nilijua nikipiga mashine vizuri nitaenda kuwatoa kabla hata hawajafika Same!!
Tumeanza kutembea sio kwa speed kali hiyo jioni jioni ya saa moja bado watu ni wengi barabarani na mibasi + magari makubwa mengi yakitoka Dar kuja Moshi, Arusha.

Haikuchukua dakika nyingi saana kufika Mwanga, nikaiona ile Murano ndio inaondoka, nikajua labda alikuwa anaongezea abiria, nikawa nimempita mbele kabla ya Kisaranga nikaipita na ile Mark x, Alphad sikuiona. Giza linazidi kuongezeka naona na barabara inapungua jam.

Tumepita Lembeni kwenye Kivuko cha treni jamaa wa Mark X akaovertake kwa speed kali kuianza Tambarare flan hivi kuelekea Same, hapo ndio ikawa shughuli hakuniacha mbali sana, kabla ya sehemu inaitwa mgagao Murano akaniovertake akaenda akaovertake na mark x..

Baada ya Murano kunipita nikagundua Mark X kaongeza speed zaidi kwasababu alianza kuniacha kwa mbali kidogo.

Nikagundua hawa watu kama vile wanafanya ligi hapo road, nikaamua na mimi kujihusisha nao, ule mtiti haukuwa wa kawaida Tukaanza kutembea sasa pita nikupite ikaanza, jamaa wa Mark X tulikuwa tunamuacha sana...

Mpinzani wangu mkubwa alikuwa jamaa wa Murano, hadi tunafika Korogwe, kwenye kona yakuelekea Old Korogwe, kuna beria, tukamkuta jamaa wa Alphad pale na gari nyingine ndogo mbili, zote zinaenda Dar, ebwana eeh kama ni ligi ndio ilikuwa kama vile inaanza piga nikupige,

Jamaa walikuwa wanatoa changamoto sana, hata kusinzia huwezi muda wote unawaza kumtangulia aliyeko mbele yako na kutokukubali aliyeko nyuma yako akupite! Huu mfumo ulifanya tukafika Dar mapema sana! Huu utaratibu wa Ligi kwenye hii barabara sijui kama ni wa kila siku, Kuna mashindano sana.

Ni barabara yenye ligi tena matata sana.
Kuna MwanaJf anayependa ligi barabarani, share na sisi.
Ifike mahali tubadilike, Barabara zetu % kubwa sio nzuri na zimeharibika...Madereva wengi nao wapo barabarani lakini nao % kubwa hawana maadili ya udereva..unapata wapi ujasiri wa kuanzisha ligi ???ndio maana kuna michezo ya kushindana mwendokasi wa magari na sio humu barabarani kwenye safari za kawaida, huo kwa mtizamo wangu ni USHAMBA sababu unaanzishaje mashindano kama hayo na mtu ambaye huna makubaliano naye kabla kwenye njia inayotumiwa na wengi..?Sometime unakuta Dereva wa gari kubwa au yenye nguvu anapitwa na Gari ndogo anaona kama dharau..how come ?kila mtu ana safari zake na kwa muda wake...Endesha safari yako. Unakuta mwingine ana Gari anapitwa na pikipiki zetu za kichina naye anaamsha kumfukuzia hivi kweli na dereva na akili zako timamu unaadhimia kabisa kushindanisha gari lako na pikpiki zetu za kichina?Tuache hii tunawagharimu wengine kwa ushamba wetu na ulimbukeni na sanasana Watu Tuliojifunzia na Kuvikuta hivi vyombo vya moto ukubwani ndio tumekuwa na hizo mbwembwe. TUBADILIKE LIGI ZA KIPUUZI MABARABARANI SIO UJANJA KILA KITU KINA MAHALI PAKE.
 
Mkuu, Ligi nyingine tamu.
 
Mkuu, Ligi nyingine tamu.
tatizo miundombinu ya barabara mibovu mkuu na unayefanya naye ligi huna uhakika na udereva wake..matokeo unatoka Dsm gari yako ina Insurance kubwa na wewe full Bima ya Afya unaenda kumgonga muendesha baiskeli au mtembea kwa miguu huko vijijini anayetegemewa na familia yake, anakufa au anapata ulemavu wa kudumu wewe unatoka unalipwa gari mpya, unatibiwa na Bima na Polisi unatumia namna zako unatoka unaendelea na maisha yako ila ujui umekata mrija wa watu huko na watu wanateseka muda huo kwa sababu yako...Ligi ni U-SELFISH ULIOPITILIZA....unakuta mtu hadi barabara za mijini anafanya Ligi.
 
Mkuu, unatuogopesha?
 
Wakuu leo niko na Escudo tu.
Nimetoka Same saa Moja kasorobo jioni, sasa hivi saa 2 na nusu niko Korogwe.
Tunapata dinner...
Nilitamani kupiga picha mshale ukiwa 180,
Nikashindwa
IMG_20191026_203050.jpeg
 
Mi watu wamagazeti nawakalisha tu kila siku nina bettle langu oldmodel made by hitler mbona vumbi tu full turbo kama unataka ligi nichek dar mbeya hata uwe range unakaa
 
Tumeambiwa kuna sehemu barabara haipitiki...
So [emoji22][emoji26]
 
Back
Top Bottom