Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Kesho safari ya mbeya na ipsum yangu wala sitaki ligi mdogo mdogo tu
 
Sio wewe nimekuona kwenye uzi fulani hivi unasema Dar -Arusha unatumia 4:30 hrs na kwamba unatembea 130-150Kph usiku?
Hahah mzee baba una kumbukumbu balaa, kuna uzi mwingine huyu mchizi alisema Dar-Mwz anatumiaga masaa 7 tu hahah.

Dar to Mwz ni km 1175 maana yake on average alikua anatembea 170km/h,Tz hii hii na barabara zake hahah.
 
Nyingi waga hazifiki hizo speed, hizo speed waga ni kiashiria tu, ni kama vits dashboard yake ina 180kmph wakat top speed yake ni 140kmph

Hii sentensi ulielewa nini.

kuna uwezekano ukaogopa kwenda nako ligi kisa umeona dashboard yake
 
Gari za kijerumani ni kuwa hazina high speed limiter
Ila subaru nyingi zinazipiga chini kuwa faster, kuna watu wanaweza toa speed limit gar inakuwa noma zaid
Ndo maana ata V8 nyingi unakuta ina 180kmph akat ina uwezo wa kwenda 280kmph

Unamaanisha kufanya tuning au?
 
Hahah mzee baba una kumbukumbu balaa, kuna uzi mwingine huyu mchizi alisema Dar-Mwz anatumiaga masaa 7 tu hahah.

Dar to Mwz ni km 1175 maana yake on average alikua anatembea 170km/h,Tz hii hii na barabara zake hahah.
Kama anaendesha gari za gazeti inawezekana.
Mimi nina jamaa alikuwa akiendesha gari kutoka Dar kwenda Mbeya kwa masaa 7:30 mpk 8.
 
Hii sentensi ulielewa nini.

kuna uwezekano ukaogopa kwenda nako ligi kisa umeona dashboard yake

Odometer ni kipimo tu cha speed, ila haimaanish ndo top speed, magar mengi ya japan yanakimbia sana kuliko ya germany ila mengi yana kuwa limited kutokana na sheria za japan
 
Mnasahau kuna mlima. Kuna barabara mbovu kutoka makambako.
Kuna Mikumi.

Dar Mbeya ni 800km hivyo ni ngumu kutumia 7 hadi 8hrs
Masaa 10 inawezekana
Kama anaendesha gari za gazeti inawezekana.
Mimi nina jamaa alikuwa akiendesha gari kutoka Dar kwenda Mbeya kwa masaa 7:30 mpk 8.
 
Kabla ya hizo ligi zenu muwe mnaandika wosia kabisa msitusumbue
 
Hii saaa kabisa mana unakuta ki VW polo kina spidi hadi 300km/h afu kina horse power 99 kitakimbia vipi mbele ya GX 100 yenye injini ya 2JZ au subaru legacy 2.0 GT..

Hizo speed kwny dash sometimes za kuvutia wateja tu
Odometer ni kipimo tu cha speed, ila haimaanish ndo top speed, magar mengi ya japan yanakimbia sana kuliko ya germany ila mengi yana kuwa limited kutokana na sheria za japan
 
Kweli kabisa, sasa ni kute njiani na Kilitime yangu speed 220, halafu nipo mwenyewe ndio utajua ile ni vvti 2.0 or not.
Hii gari ina speed mpaka 220 lakini mimi na Gx110 cc1980 6cylinder nilimuacha mbali sana,sijui shida ilikuwa ni dereva au ndo hazina mwendo
 
Mnasahau kuna mlima. Kuna barabara mbovu kutoka makambako.
Kuna Mikumi.

Dar Mbeya ni 800km hivyo ni ngumu kutumia 7 hadi 8hrs
Masaa 10 inawezekana
Masaa 10 kwa gari ya gazeti utakuwa umeleta hasara maana wanatakiwa saa 12 wawe Mbeya. Dar huwa wanatoka saa 2,3 au saa 4.

Wale madereva wanaendesha gari kwa kurisk maisha na pesa wanayopewa nzuri.
 
Back
Top Bottom