Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo.

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.

Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
Sasa ninunue simu isiyopo Tanzania afu spea zake nazo niwe naagiza kwani ni gari?Acha kutukuza mabeberu wew.
 
Wewe ndie mshamba sijawahi kuona.

Wewe ndio unaambia watu watafte exposure wakati wewe huna? Vivo nex uilinganishe na s10+? Una akili timamu kweli? Hizo ranking umezitoa wapi?.

Simu hazilinganishwi umekaa kwenu mbagala maji matitu huko na vivo nex yako ukasema hii simu ni nzuri kuliko simu zote Duniani.

Eti vovo nex haziletwi Tanzania kwa sababu hatuwezi kununua, hivi akili yako inafanya kazi sawa sawa? Watu wananunua simu ya Dollar 1399 washindwe simu ya Dollar 600 au 700?

Tafta elimu ya kutosha kuhusu tecnolojia ya simu, soma rankings za simu zinazotambulika Duniani sio za, achana na ulimbukeni. Hizi stori ya kitoto wadanganye ndugu zako huko.
Huyu jamaa amenchekesha sana kwa kulinganisha flagships za Samsung na vitu vya ajabu.
 
Huyu jamaa amenchekesha sana kwa kulinganisha flagships za Samsung na vitu vya ajabu.
Ahaa samsung ,samsung zote hizo ni zinatengenezwa Asia huko china na south korea

Piga kelele
Badili simu mkuu hizo ni takataka
 
Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo.

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.

Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
Asante mkuu,
 
Sipati picha tecno isingekuwepo sokoni, sijui watzanzania wangap wangekuwa na smart phone!
 
Kiongozi iphone na samsung hakuna kitu

Tatizo Tanzania hakuna soko ndio maana simu haziletwi sana

Brand nzuri ni nyingi sana

Makampuni kama xiomi ya simu kali kuliko hizo

One plus series au vivo ni next level
Hapo kwenye Xiaomi umenikuna mkuu, kuna Xiaomi kali hakuna Samsung wala iphone anaetia mguu!

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Watu acheni upimbi kuzizodoa tecno ,binafsi natumia tecno na tangu nianze kumiliki simu basi hii tecno niliyo nayo sasa imeniingizia hela na inazidi kuniingiza hela naiheshimu sana tecno Yangu,nyie bakini na masamsung na miaiphone yenu
 
Sifieni simu mnavyoweza lakini kwasasa nasubiri nipate mpunga nivute Xiaomi mi 9 au mi10.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Itoe Huawei hapo ..
 
Umemaliza kusema unayoyajua kuhusu simu au umekosoa nilichoandika

Simu ni technology kwa sasa.

Kuna vitu kama

1. 1.07B display siyo hizi 16M colours ambazo flagship nyingi wanafunga.

2. Sahivi tupo kwenye high touch sensing displays

3. Tupo kwenye high refresh rate displays ambapo 90hz ndio imekuwa kama standard hivi maana tushafika kwenye 144Hz

4. Tupo kwenye tech za kucharge simu kama VOOC flash charge. Unacharge simu to a full charge in a less that 30 minutes tena kwa battery ambayo ni above 4000mAh.

5. Tunaelekea kwenye 5nm processor. Hizo tecno sijui kama kuna hata yenye 7nm.

6. Tupo kwenye tech ya amoled ambapo unakuta display by itself imefilter blue light kwa asilimia fulani. Kabla hata hujaadjust kwenye settings.

7. Zipo tech nyingi sana kwenye simu. Hapo sijagusa cameras na takataka zingine.

Tecno mwaka 2020 bado anatoa simu ambayo network yake ya 4G ni cat 4 wakati tupo kwenye cat 21. Nikionqga mtu na tecno yake analia eti network inamsumbua huwa natamani kumtemea mate.

Hizo tecno unazozipigia chapuo bado ni takataka.
 
Safi mzee nakubali
Mtu ana simu ya 1M benki ana 20k
Mambo ya ajabu kabisa afu ukipata shida anakuja kukuomba wewe na tecno yako
Tuna dharau vya wenzetu wakati hata radio call au yale masimu ya mezani hatuwezi kitengeneza?

Tumepumbazwa mno mtu mwenye iphone ya laki 6_7 kumcheka mwenye samsung ya laki tano na mwenye samsung ya laki tank kumcheka mwenye tecno ya laki tatu

Bila kujua pesa mlizonunulia zimejenga uchumi wa mabeberu huku wao wakiwapigisha vita ya maneno kwa kuwaongezea specifications za simu kwenye camera?utadhani mmekuwa wapiga picha)

Kupanua ukubwa wa 'prosesa' na RAM halafu hujawah ku notice any difference kwa maana bado utachomeka laini hizihizi za tigo na airtel ambazo speed yake unapimiwa kwenye kibaba

Wakeup Africa
 
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.

Mwenye techno anatamani kuwa na iphone ila mwenye iphone hatamani kuwa na techno
 
Wale watumiaji wenzangu wa Tecno tuchapeni tu kazi,hata wasekeje,watasema wataacha tu.
 
Wale watumiaji wenzangu wa Tecno tuchapeni tu kazi,hata wasekeje,watasema wataacha tu.
 
Back
Top Bottom