Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Natumia INFINIX na sijuti

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Sasa umejuaje km za "Hovyo"km hujawahi kuzitumia Boss?
 
Tecno? Ile cm mtu ukiwa mweusi kamera yake inakutoa mweupe ka umemwagiwa tindikali usoni? Sijawahi kutumia hiyo kampuni na naomba Mungu aniepushilie mbali.

Sent with Samsung Galaxy A10 [emoji1783]
Ha ha ha TECNO mi ishanipakaga mapoda
 
Tabia ya kudharau simu za Tecno itawaponza milele baadhi yenu milele

Nashangaa hii tabia ikoje kwa sababu ni jambo la kushangaza Watanzania wa humu jf mnadharau simu za Tecno bila sababu zozote zile za msingi

Na watu wamekua wakibeza simu za tecno bila mantiki bila hoja ilhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap?

ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha.

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu.

Hebu tuwe serious. Hivi tecno nayo ni simu?
 
naona mmeamua kukaza sasa hampendi dharau[emoji23][emoji23][emoji23].

ila jaman tuache masihara,hivi unatoka nyumbani kwako mpaka kkoo unatoa hela laki ya 1,2,3,4.unachukua tecno[emoji23][emoji23][emoji23],mwanaume na kengere zako mbili.

tv mchina,radio mchina,deki mchin,meza tv mchina.
kaza kidogo mwanaune basi kwenye simu,usikubali kuwa mnyonge kila sehemu.onyesha unajijali.

kununua tecno kwa matumizi rasmi,ni sawa na kutumia soksi kufuta viatu,unaonekana mwanaume fulani usiye makini.sijataja wanawake bado.
Mwanamke used pia.
 
Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma wali

Eti tecno wanajitahidi kuboresha? Wewe haupo serious na hiyo kqmpuni yako unayoipigia chapuo. Tecno ni takataka yaani 2020 bado mpo kwenye USB type A.

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Naona hauzijui simu nzuri kwenye upande wa camera. Hata tukisema tutaje top 10 hakuna takataka ya tecno itaingia.
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani

Wewe pia hakuna unachojua kuhusu simu. Eti huawei unamuweka kundi moja na hizo takataka zingine.

Halafu huyo sony anajifia taratibu hawezi game.
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu.

Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga 😩😩

Siku ukija kununua simu ya kueleweka hiyo tecno utaiona takataka.
 
Tuna dharau vya wenzetu wakati hata radio call au yale masimu ya mezani hatuwezi kitengeneza?

Tumepumbazwa mno mtu mwenye iphone ya laki 6_7 kumcheka mwenye samsung ya laki tano na mwenye samsung ya laki tank kumcheka mwenye tecno ya laki tatu

Bila kujua pesa mlizonunulia zimejenga uchumi wa mabeberu huku wao wakiwapigisha vita ya maneno kwa kuwaongezea specifications za simu kwenye camera?utadhani mmekuwa wapiga picha)

Kupanua ukubwa wa 'prosesa' na RAM halafu hujawah ku notice any difference kwa maana bado utachomeka laini hizihizi za tigo na airtel ambazo speed yake unapimiwa kwenye kibaba

Wakeup Africa

Haya maneno ya asiyezijua simu.
 
Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo.

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.

Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019

Kuna simu kali sana zinatengenezwa na chinese firms ila watu wengi hawajui hilo.
 
Mleta maada Acha kutumia Tecno , ni simu moja kopo Sana , tafuta hela ununue simu nzuri na imara , Tecno , itel na mdogo wao infinix hzo ni toy, yaan mi nikiona mtu ana hzo simu huwa namuona kama uso wa mbuzi hvi ,

nunua brand hzi...iPhone, Huawei , Samsung , opppo , Xiaomi na Sony....hzo ndo top five most trusted world wide, Kwanza ukienda kununua China simu za Tecno, unapimiwa kwemye ndoo na nyongeza juu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe ndie mshamba sijawahi kuona.

Wewe ndio unaambia watu watafte exposure wakati wewe huna? Vivo nex uilinganishe na s10+? Una akili timamu kweli? Hizo ranking umezitoa wapi?.

Simu hazilinganishwi umekaa kwenu mbagala maji matitu huko na vivo nex yako ukasema hii simu ni nzuri kuliko simu zote Duniani.

Eti vovo nex haziletwi Tanzania kwa sababu hatuwezi kununua, hivi akili yako inafanya kazi sawa sawa? Watu wananunua simu ya Dollar 1399 washindwe simu ya Dollar 600 au 700?

Tafta elimu ya kutosha kuhusu tecnolojia ya simu, soma rankings za simu zinazotambulika Duniani sio za, achana na ulimbukeni. Hizi stori ya kitoto wadanganye ndugu zako huko.

Few years to come Xiami na Vivo wanampiga gap iphone. Maana saiv wanamuhemea kisogoni.
 
Yani wewe ni limbukeni na mshamba sana, wewe ni calibre ya tecno aliechangamka.

Uwezo wa kununua samsung au iphone huna sasa unabaki unaponda hapa. Samsung na Iphone ndio brand pekee zinazotawala Dunia kutoa product za kiwango kinachokubalika.

Hizo takataka zako unazozitaka haziwafikii hao. Kama kitu huna uwezo nacho usikiponde.

Hivi mfano Samsung s20 Ultra inaizidi nini Oppo find X2 Pro?
 
Simu za Tecno zishapewa brand ya dharau sana sio kama ni mbaya kihivo. Mfano ni kama sehemu moja kwa hapa inaitwa BUZA sio kwamba ni kubaya ni kuzuri tu na kuna nyumba kali kinoma na biashara mzuri, Ila ndo hivo wanadam kitu wakiamuwa kukitia hila ni hila tu.
 
Back
Top Bottom