Hii tabia wanaume wengi wanayo

Hii tabia wanaume wengi wanayo

Mimi niko tofauti hata ukinipa mchezo naweza kukusumbua kwa sms nk mpaka nimpendae anaona kero vile.. Kupenda huku kuacheni.
 
Fafanua mkuu
Mnatuumiza mno
Mfano; girl wa kwanza niliyempenda aliniacha akaolewa,akala hela zangu
2.akanikataa akaolewa
3.akanicheat then akaolewa
4.ana ni cheat
Unadhani hapo nitakua na moyo wa kupenda ?
Lazima nichape na kuondoka
 
Hii sired n kama imenilenga
Maana kama namfukuzia dem mwez
Mmoja ndo aje akubali walaaaaah wabilah baada ya kupewa tunda hata mm naonesha maringo yang
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na nyie kwanini huwa mnawasumbua wanaume mwezi mzima? Kwanini huwa mnamnyanyasa sana mwanaume kabla ya gemu?
Imagine unafwatilia papuch mwez mzma n kama
Unaomba kaz kwa jiwe
 
Mnatuumiza mno
Mfano; girl wa kwanza niliyempenda aliniacha akaolewa,akala hela zangu
2.akanikataa akaolewa
3.akanicheat then akaolewa
4.ana ni cheat
Unadhani hapo nitakua na moyo wa kupenda ?
Lazima nichape na kuondoka
Visasi au
 
Mnatuumiza mno
Mfano; girl wa kwanza niliyempenda aliniacha akaolewa,akala hela zangu
2.akanikataa akaolewa
3.akanicheat then akaolewa
4.ana ni cheat
Unadhani hapo nitakua na moyo wa kupenda ?
Lazima nichape na kuondoka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
1,2,3
 
Ndo mana km unampenda mwanaume mkubalie mapema tu
Na km sikupendi ht ukae miaka miwili i js wont kubali
Kuna utamu wake pale mwanaume anavyokuwa anakutafuta kwa hisia,unamsumbua kwanza,unaona je ni kweli yupo serious au lah!
 
Back
Top Bottom