Hii tabia wanaume wengi wanayo

Si kweli wanaume hawana hisia za kimapenzi. Tunazo.. ila tofauti ni jinsi gani zinakuwa activated. hisia za mwanaume zinachukua muda kuwa activated wkt za mwanamke ni dakika chache tu.

Na kuna scenario zingine inatokea umefall kwa demu siku ya kwanza mlipo kutana.

We sema at the beggining ni tamaa, laki kadiri siku zinavyokwenda ndio tunafall in love. Ila hiki kipind demu akizungua ni kibuti
 
Kuna utamu wake pale mwanaume anavyokuwa anakutafuta kwa hisia,unamsumbua kwanza,unaona je ni kweli yupo serious au lah!
Hahaha hicho ndo kinachowacostii mda mwingine...anakuigizia yuko serious kumbe maigizo...sikiliza moyo wako wa kwake u never know

Coz moyo wa mtu ni kiza kinene na wanaume have perfected the art of maigizo
Ss wewe u js gotta be smarter than him bila ye kujua

Km umemfeel mkubalie sikiliza moyo wako na km humtaki mkataee overr
 
Hahahaaa. Kabisaaaaa.

Maana umepanga kuharibu macho yangu sio bure.
Na madaktari siku hizi wao wanajua kuondoa viungo vibovu tu hawatibu, utasikia mtu kaumia mguu ukatwe, jino ling'olwe sasa na macho sijui itakuaje Hajar hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Si ndo hivyo,unamfeel unampa akisha pata anatoweka
 
Asante kwa kuniunga mkono,wakati anakufukuzia sijui huwa wanawaza nini aisee
mawazo ni njia panda pekee, akifanikiwa kufika, safari huanza kusitasita japo inategemea amekutana na hali gani
 
Na madaktari siku hizi wao wanajua kuondoa viungo vibovu tu hawatibu, utasikia mtu kaumia mguu ukatwe, jino ling'olwe sasa na macho sijui itakuaje Hajar hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Basi nakuachia kazi uje kunisomea mwenyewe. Nasubiria huku.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
cutelove , nimesoma bandiko lako, nikavaa uhusika, kwa kweli lina ukweli mkubwa, ingawa hata mimi sababu sijui kwa kweli especially kwa mchepuko.

Ila spidi ya wakati natafuta sijawahi hata kuimaintain hata kwa muda mfupi, huwa inapungua haraka sana na mara nyingine hata mahusiano kufa mapema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…