johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
AiseeeeDuuh hata saa mbovu kuna mda inaongea ukweli
maendeleo hayana vyama
Irrelevant commentKumbe hata manunuzi ya Ndege bila kuidhinishwa na bunge na ujenzi wa uwanja wa ndege kwa 1.5 Trilioni yalikua maono ya Chadema?
Make it relevant!Irrelevant comment
Hapo Freeman alikuwa anapiga " mzinga"!
CHADEMA wana akili na wanazitumia hawawezi kuwa na maono ya kijinga kama hayo, vilaza wa CCM wenye PhD za jalalani ndo wenye maono ya kununua madege na kuiletea nchi hasara kwa kila wanachofanya toka waingie madarakani. CHADEMA wangenunua ndege za kutumia Viwanja vilivyopo zikihitajika wakati ukifika siyo kuyalundika hapo miaka na miaka!Kumbe hata manunuzi ya Ndege bila kuidhinishwa na bunge na ujenzi wa uwanja wa ndege kwa 1.5 Trilioni yalikua maono ya Chadema?
Wakubwa wakiwa wanaongea muwe mnakaa kimya sometimesKumbe hata manunuzi ya Ndege bila kuidhinishwa na bunge na ujenzi wa uwanja wa ndege kwa 1.5 Trilioni yalikua maono ya Chadema?
unafkiri Kwa nini imepelekwa mbezi ambako ni karibu na Kimara?!Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita.
Naomba kuelimishwa
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
Kwa sababu mabasi ya Moshi yapite Goba!unafkiri Kwa nini imepelekwa mbezi ambako ni karibu na Kimara?!
Je wajua kimara wakazi wake wengi wanatoka mkoa gani?!
ukilata jibu bold
Hata yasipite almuhim huduma wamejisogezea karibu na mkoa wao wa KimaraKwa sababu mabasi ya Moshi yapite Goba!
Kwani zamani kimara hapakuwa na stendi?Hata yasipite almuhim huduma wamejisogezea karibu na mkoa wao wa Kimara