joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,467
- 41,640
Bro unaweza ukakuta Ke ndiye mwenye mzigo, halafu si unajua hawa ke wakiwa na mzigo watakupelekesha na mwana asipokuwa Nduli ndani ya nyumba atavurugwa haswa.Kuna dalili unaziona mapema kabisa kuwa mwanaume anaenda kuteseka katika ndoa...mtu unayo pesa yakutosha sasa unaoa ili iwe nini?
Hahahah kumbe dada yake hamisi huyu 🤣!!! Wale sini waluguru jamani.Naskia ni mtoto wa mwenye gari za luwinzo
Unyalukolo moja hyoo
Nyege za ndoa zikiisha ndipo atafunguka akili🤣Kwani yeye anaona hayo sasa...
Ngoja miaka iende ende ndo atafunguka akili. Hapo bado kabisa kung'amua
Jamaa si anakuwaga mbali site huko, michepuko lazima anayo sema kwa style nayoona huyu dada ni kwamba ndiye amefosi kuolewa haraka haraka maana ni control freak. Mwanamke mwenye guts za kuongea hivyo mbele za watu itakuwaje mkiwa mko mtu bee mjengoni? Mbaya zaidi ndio awe na hela zaidi weee.Namsii jamaaa anze kuyaanda michepuko yake tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 SUGUNYO kutoka Ukraine.Bwana harusi kakutana na ngumi ya sugunyo
Huhitaji degree kuelewa kuwa amiri jeshi wa hio ndoa ni huyo mwanamke 😀Kuna dalili unaziona mapema kabisa kuwa mwanaume anaenda kuteseka katika ndoa...mtu unayo pesa yakutosha sasa unaoa ili iwe nini?
Amesema acheni kelele. Order!!!Asante
Pole sana kwa kuumwaHayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.
Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....
Kaka kazi unayo
Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
Pole sana, pona haraka. Kama haupo mbali naweza kuleta maembe kwa ajili ya juice.Naumwa sana anko
Maana.....!Mtume boda maana
Kwa tuliopita Cuba tushaelewa kuwa hilo ni Igizo waliliandaa ila director ni huyo mwanamama. Mwamba hana vyombo huyo ila anatafuta hifadhi tu🤣🤣🤣🤣🤣
Hata ubwabwa wake nsingekula ningesepa aule yeye na mme bwege wake