Hii sasa ni pupa, ni papara

Who’s going to fly internationally with Air Tanzania?

Definitely not me. I’d rather fly with an already established airline.

Anywho, we’ll see how things pan out.
Be patriotic mr ngabu
 
Macho yetu sie
 
Watu wa serikali wanataka shobo, faida na biashara ni geresha tu.
 
Ni wachache sana wenye uwezo wa kunielewa humu!
Ha ha haa...when we are born, we are all ignorant but it takes such great effort to remain stupid! This way a moron is easily convinced that staying stupid is an achievement and is proud of it. Hence he lives the rest of his life wondering why there are people who don't understand him...!
 
Nashauri hii ndege ikodishwe italipa zaidi kuliko hivi sasa hakuna shuhuli za kiuchumi zitakazo lipa. Shuhuli za kiuchumi ndio zinazoleta ndege na sio ndege inayoleta shuhuli za kiuchumi.
 
Mleta mada leta utafiti vizuri,Angalia mwenendowa ATC Kwa Sasa ,Precision ,coast ,Fast jet nk.Ujue idadi ya abiria,Root zao nk Ndio utuambie kuna umuhimu au la
 
Polepole aweka historia. Awa abiria wa kwanza Tanzania kupiga picha na bendera ya chama ndani ya dream liner
#MatokeoChanyaKilaMahali
 
Wiki 2 zilizopita ulikuwa huelewi!
 
Maadam mwali tayari yumo ndani ya nyumba, na kitanda kimeisha tandikwa shuka nyeupe, kilichobakia ni kumuingiza tuu mwali chumbani na kuendelea na kinachoendelea.

Juhudi zetu sasa tuzielekeze katika kuhakisha ndege yetu inajaza hao abiria 520 daily wa kwenda Mwanza, na kurudi Dar ili ndege isiende tupu tukapata hasara.

P.
 
Last edited:
Hii ngoma mtaiweka parking very soon,
nimemuona Polepole anazunguka kwenye ndege na mabendera ya CCM nimetamani nimtie makofi.
 
Sio mbaya,tuna mpango wa route ya Johanasibag,mda so mrefu,vuta subira
 
Definitely not me.
Obviously you are just one occasional flier while there many frequent fliers out there! These will definitely fly ATCL from great cities' international airports to Dar es Salaam.
 
Mkuu kati ya ATCL na wewe nani mwenye papara? Wao walishatoa mipango yao. Hii ya safari fupi in kukuonjesha wewe asali ya anga muda si mrefu wanaanza kiruka - Kampala na Burundi na India. Usiwe na papara mkuu. Uwe unauliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…