Hii raha au karaha?

Hii raha au karaha?

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,370
Nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.

Hivi mapenzi ni raha au karaha?
 
Hard to live with hard to live without....Inabidi tuiachie "social preassure to get in" itusukumie tu kwenye hayo mapenzi
 
nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.

Hivi mapenzi ni raha au karaha?

mapenzi ni raha.
 
Mapenzi hayana shida yoyote lakini wale wanao exercise mapenzi ndio wana shida
 
Nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.

Hivi mapenzi ni raha au karaha?

We all want what we don't have...
 
Back
Top Bottom