Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,228
- 866,558
Halafu akitoa hicho kidole atakinusa
Mimi mambo ya kusalimiana na mikono siyapendi, salamu ya sauti inatosha.
Hata kuhug hovyohovyo huku mnakiss kuna wengine wana mmba sijui tangotango usoni. Mtu unaweza ambukizwa ni kuwa makini tu.
Mmh hili nalo neno na mimi ntapunguza kuwapa watu mikono maana unakuta mtu anatoa mafua yake kwa mkono pyeee!! Afu badae anataka kukusalimia
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
hivi hii tabia ya kusalimiana kwa kupeana mikono tumeirithi kutoka kwa nani??....
mi kiukweli siipendi! kunamengi sana yanafichwa na mikono hii..... kuna vingapi vichafu vinashikwa na mikono? imagine..
kuna watu wanajiona kukohoa bila kuziba midomo ni haki yao ya kikatiba kabisa!!... yani handkerchiefs zipo kabisa kwa ajili ya kuzibia midomo wakati unakohoa, lakini wapi!!! mtu anankohoa bwaaaaaa!! hata mikono basi apishie pembeni kule, hakuna!!!!!.. imagine...!!

kuvuta sigara na kujamba kwenye daladala, alafu mjambaji anajifanya kutojua kinachoendelea!!
Wacha wee.....
Ndio hivyo, usinipe mkono wala usinihug sawa babu.
Mchoyo ww
lazima wabongo wakuone kiburi na mwenye nyoodo, hawatotazama masuala ya afyaNi mbaya na hatar kwa afya ..
Kupeana mikono sio lazima na Mimi wengi ziwapi salamu za mikono..
Wanamaind wengine ila nawapa sababu za kiana na kupotezea