...hasa ya kuchokonoa pua kwa vidole na kujifuta jasho kwa mkono na kukohoa bila kuziba mdomo mi huwa vinanikera mno kwa kweli..
wapanda daladala tunakomaje
Ana umri gani huyo rafiki yako, ameanza kufanya hivyo toka lini, jambo hili si kwa wakaka hata kwa kina baba na babu, swali je hufanya hivyo pia pindi anaposalimiana na baba yake mzazi, au kaka zake/wajomba nk au hufanya hivyo kwa wakaka wa mtaani tu.
Huonyesha Upendo. Ila nawa Mikono kabla hujala kitu chochote.
aaaaaaaaaaaaaaah ndo mana m sitaki kusalimiana kwa mikono...duuuu hii hapana bora uonekane unajidai
aaaaaaaaaaaaaaah ndo mana m sitaki kusalimiana kwa mikono...duuuu hii hapana bora uonekane unajidai
Mie sipendi tu!
kwahiyo tishu ndo utumie mbele za watu...pole.
Mi kuna mmoja alitoka kuchonoa pua na vidole huku namuona halafu akanikatia muhogo nikakataa kuuchukuaNIMEONA NIPAPASTE HAPA PAMENIPENDEZA imagine mtu anatoka kuchokonoa pua halafu anakusalimia kwa mkono, mmmmmmh, sio afya na haipendezi hata kidogo.
... toilet jamani maji nayo yana nafasi yake
Holy shit!!!!!! mbona saizi nitakuwa nampa 5 kila mtu,hata mbibi....kama ishu zenyewe ndio kama vilee!! Umenimaliza Tyta..hahah!