Hii ni tabia mbaya kwenye mahusiano

Hii ni tabia mbaya kwenye mahusiano

602731_417960054980981_1721887521_a.jpg
74627_413551452088508_498595675_n.jpg

hahahah tyta we n noumaaa
 
Hili swala la kupeana mikono kwa kweli linaudhi........unamuona mtu anachokonoa pua halafu anakupa mkono.......I hate........😣
 
NIMEONA NIPAPASTE HAPA PAMENIPENDEZA

imagine mtu anatoka kuchokonoa pua halafu anakusalimia kwa mkono, mmmmmmh, sio afya na haipendezi hata kidogo.
 
Yani mm huwaga siwasalimii hasa WANAUME kwani wanaijitokotoko sehemu zao kisha wanakupa mkono
sipendi tabia hii inaniudhi sana tena sana
 
Hili swala la kupeana mikono kwa kweli linaudhi........unamuona mtu anachokonoa pua halafu anakupa mkono.......I hate........

Preta anzisha biashara ya gloves, nitakuwa mteja wako
 
Tyta amenichekesha hiyo picha lol aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Sasa kila mtu akiwa anaziponda tabia hizi, kina nani wafanyayo hayo huko mitaani!!!! lna maana humu wote ni wastaarabu?
Wafanyayo hayo, hawajajiunga jf watoe sababu za kufanya hivyo laivuuuuu!!!!
Anyway....
...nameless, hujui jf upepo ukivuma kaskazini-magharibi wotetunageukia huko? !!!
mara nyingi inategemea wa mwanzi kaanzaje, kama kaanza kuponda %kubwa wataponda..

anyway, waliopo jf ndo hao hao huko vingunguti kwa simba, potezea tu.
 
Sasa kila mtu akiwa anaziponda tabia hizi, kina nani wafanyayo hayo huko mitaani!!!! lna maana humu wote ni wastaarabu?
Wafanyayo hayo, hawajajiunga jf watoe sababu za kufanya hivyo laivuuuuu!!!!
Anyway....

koho koho koh!! sory kifua kimanibana!! hapa ni yale yaleee mmekaa kigroup cha watu weengi akatokea m1 kujamba kila mmoja najifanya kuuliza nan kajamba hata mjambaji nae ajifanya kuuliza lol! haya hongereni wana jf kwa kuwa wastaarabu!
 
Back
Top Bottom