Hii ni tabia mbaya kwenye mahusiano

Hii ni tabia mbaya kwenye mahusiano

Hivi Tyta hizi picha huwa unazitoa wapi, kila thread lazima utupie picha, unazitoaga wapi?

602731_417960054980981_1721887521_a.jpg
74627_413551452088508_498595675_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Halafu iko hii tabia inayonikera ajabu. Unaenda dukani asubuhi mapema kuwahi maziwa. Unamkuta muuzaji kajaza limswaki mdomoni hata kuzungumza hawezi na mipovu mieupe ikichungulia pembeni mwa mdomo! Nikiona hivyo narudi zangu chai naenda kwa mama ntilie.
 
hahahaha nina rafiki yangu huyo aisee akisalimiwa na mkaka kwa ku shake hand lazima akanawe, ananawa mikono ata mara 20 kwa siku namuuliza why this my dear, anasema huwa wakienda kushii hawanawi mikono kwaiyo inamtia kinyaa, twih twih twih tuache kutumia toilet jamani maji nayo yana nafasi yake
Ana umri gani huyo rafiki yako, ameanza kufanya hivyo toka lini, jambo hili si kwa wakaka hata kwa kina baba na babu, swali je hufanya hivyo pia pindi anaposalimiana na baba yake mzazi, au kaka zake/wajomba nk au hufanya hivyo kwa wakaka wa mtaani tu.
 
Hizi ni Tabia mbaya kwa ujumla..sio kwenye mahusiano pekee..(na ki toothpick changu mdomoni)
 
lazima wabongo wakuone kiburi na mwenye nyoodo, hawatotazama masuala ya afya

Kwa kweli sipingi kuwa kuna watu wana tabia mbaya, kama kutema tema ovyo bila kujali watu walio karibu, au kujishika shika kama picha ya Tyta inavyosema ,lakini naomba nikuulize ,ni mara ngapi umeugua kwa kushikana mkono na mtu???
 
Mkuu sipingi kushikana mikono lakini nahoji usafi wa mikono yetu na usalama wake kwenye kusalimiana kutokana na tabia ambazo sio sahihi
 
Mi wananikera sana wenye kushinda kutwa nzima na toothpick mdomoni tena mbaya zaidi mpaka baadhi ya wahudumu wa mahotelini wana hako katabia!
Mimi huwa naahirisha kula.!
 
hasa hii ya kupiga chafya kwenye public trnsport huku m2 kaachia domo wazi, inanikera maana huwezi kujua afya za wa2 wote,
 
ndio maana imani yangu ni bora zaidi, maana ilishakataza kushikana mikono zamaaani....!

Inaweza kataza kushikana mikono lakini ikawa inaruhusu uchafu na uovu mwingine mbaya zaidi ya kushikana mikono!
 
Inaweza kataza kushikana mikono lakini ikawa inaruhusu uchafu na uovu mwingine mbaya zaidi ya kushikana mikono!
hairuhusu uchafu huo pia sema wanaadamu tu kupenda kujaribu kile kilichokatazwa...
 
hasa hii ya kupiga chafya kwenye public trnsport huku m2 kaachia domo wazi, inanikera maana huwezi kujua afya za wa2 wote,
hii nayo ni kero, na ile ya kuongea na mate yanaruka kama mshale
 
Back
Top Bottom