Hii ni tabia mbaya kwenye mahusiano

Hii ni tabia mbaya kwenye mahusiano

Uwiii mwingine anapiga miayo kakuangalia usoni...
Au anaongea huku anapiga mswaki...
Mwingine anaongea na chakula mdomoni...
Mwingine hajapiga mswaki anakuongelea usoni kbs khaaa...

uswahilini kwetu hii tabia ndio balaa, mtu anakuongelesha wakati midawa ya imesambaa mdomoni, tabia mbaya kuliko zote...........kwanini usipige mswaki kwanza then ndio ukaongea na watu
 
Mwingine kijiti mdomoni na vimate sasa kwny lips vimetapakaa, naweza kutapika
 
hahahaha nina rafiki yangu huyo aisee akisalimiwa na mkaka kwa ku shake hand lazima akanawe, ananawa mikono ata mara 20 kwa siku namuuliza why this my dear, anasema huwa wakienda kushii hawanawi mikono kwaiyo inamtia kinyaa, twih twih twih tuache kutumia toilet jamani maji nayo yana nafasi yake

huyo anatatizo la kisaikolojia linaitwa OCD
 
Sasa kila mtu akiwa anaziponda tabia hizi, kina nani wafanyayo hayo huko mitaani!!!! lna maana humu wote ni wastaarabu?
Wafanyayo hayo, hawajajiunga jf watoe sababu za kufanya hivyo laivuuuuu!!!!
Anyway....

umeongea point mkuu,wengi wanafiki tu ili waonekane wastaarabu mbna makanisani baada ya sara wanapeana mikono,
 

Attachments

  • Obama.jpeg
    Obama.jpeg
    3.5 KB · Views: 299
Kuna tabia ambazo si nzuri kwenye jamii kama zifuatazo;

1. Kuchokonoa pua kwa vidole (hasa mbele ya watu),
2. Kuchokonoa masikio kwa vidole (hasa mbele za watu),
3. Kubeua (kucheua kwa sauti kuubwa "braaaah) (hasa mbele za watu)
4. Kukaaa na "toothpick" muda mrefu mdomoni kama "lolly pop"?
5. na tabia nyingine kama hizo.

imagine mtu anatoka kuchokonoa pua halafu anakusalimia kwa mkono, mmmmmmh, sio afya na haipendezi hata kidogo.

TUJIREKEBISHE kwa kutumia TISHU, HANDKERCHIEF n.k. Maisha ni usafi wa ujumla na sio kubadilisha ch.p na b.xer kila siku tu.

Mokoyo
hebu waambie na jambo lakupiga mswaki barabrani mwingine hadi dukani namuswwaki
huo siyo ungwana,..............samani lakini !!!!!!!!!!!
 
Na mwingine anajijua kabisa anamafua au kifua lakini wala hatembei na kitambaa basi usiombe uwe kwenye dala dala alafu umekaa nae siti moja utakoma, na hiyo ni sana sana kwa wanaume

inaonekana una aleji na wanaume
 
Shika ushikacho na unisalimie kwa kupeana mikono. Mimi sipeani mkono na mtu mbeya, msengenyaji, mwenye visasi, laghai and the like! Ninyi wengine hata mkitaka kunibusu ni sawa. What defiles you....
 
Back
Top Bottom