Kuna tabia ambazo si nzuri kwenye jamii kama zifuatazo;
1. Kuchokonoa pua kwa vidole (hasa mbele ya watu),
2. Kuchokonoa masikio kwa vidole (hasa mbele za watu),
3. Kubeua (kucheua kwa sauti kuubwa "braaaah) (hasa mbele za watu)
4. Kukaaa na "toothpick" muda mrefu mdomoni kama "lolly pop"?
5. na tabia nyingine kama hizo.
Imagine mtu anatoka kuchokonoa pua halafu anakusalimia kwa mkono, mmmmmmh, sio afya na haipendezi hata kidogo.
TUJIREKEBISHE kwa kutumia TISHU, HANDKERCHIEF n.k. Maisha ni usafi wa ujumla na sio kubadilisha ch.p na b.xer kila siku tu.
Mokoyo