mheshimiwa rais aliamua kuwafurahisha kidogo watoto wake na kaholiday trip newyork wakaoshe kwa kutumia ndege ya walipa kodi wa Tz, kweli uraisi raha.
daaah! nchi hii tusijekumpa mswahili tena.
Huyo wa picha ya kwanza kulia ni mwanamke au mwanaume? mbona kuna vitu vimechomoza kifuani
hata kura hukumpigia sasa walalamika nini? mswahili unakusudia muislam sio? maana we akili zako za ajabu sana mtoto wa sunday school
Si kila mswahili ni muislamu,na si kila muislam ni mswahili,wapo wakristo ambao ni waswahili k.v John Rupia
hata kura hukumpigia sasa walalamika nini? mswahili unakusudia muislam sio? maana we akili zako za ajabu sana mtoto wa sunday school
![]()
![]()
mheshimiwa rais aliamua kuwafurahisha kidogo watoto wake na kaholiday trip newyork wakaoshe kwa kutumia ndege ya walipa kodi wa Tz, kweli uraisi raha.
We mpuuzi kweli aliposema amewapeleka watoto kwa kodi zs wananchi alikuwa na maana gani? Rais hapokei mshahara?