case mtanga
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 101
- 92
Usiwe hivyo ndugu , unakuwa kama haujazaa , all in all hao ni watoto wake na yeye ni baba yao , anamapenzi nao na ni haki yao kupata mapenzi ya baba yao , ulitaka awakatie tiketi ya KLM? ,am sure hilo nalo ungesema , mbona Obama alikuja na mabinti zake huko na alipanda nao Air Force One, na mkabaki kuwamezea mate, mbona na wale wanao wadrop watoto wao mashuleni asubuhi na wao wakaendelea makazini na magari ya Serikali huwasemi?
Mkuu hao siyo wa kubishana nao utamaliza energy yako tu hawafikirii hao wanakurupuka tu.
Inaonyesha mkuu una roho mbaya sana ,roho ya choroko.![]()
![]()
mheshimiwa rais aliamua kuwafurahisha kidogo watoto wake na kaholiday trip newyork wakaoshe kwa kutumia ndege ya walipa kodi wa Tz, kweli uraisi raha.
...nyie mbulula panueni akili,mleta uzi hakuna aliposema anapinga hilo tukio,ika kamalizia kwa kusema urais raha baaas,haya uko wapi msingi wa hoja zenu...
We mpuuzi kweli aliposema amewapeleka watoto kwa kodi zs wananchi alikuwa na maana gani? Rais hapokei mshahara? Sometime muwe mnafikiria kabla ya kutoa uzi.
![]()
![]()
mheshimiwa rais aliamua kuwafurahisha kidogo watoto wake na kaholiday trip newyork wakaoshe kwa kutumia ndege ya walipa kodi wa Tz, kweli uraisi raha.
ungekuwe wewe ndiyo JK ungewadambo wanao?