Leomimi
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 2,547
- 878
Masikini hawa watt walikuwa wanasoma kibaha sec ikawa mama salma kila wk ving'ora kibaha protocol ikaona yenyewe imechemsha ndio kumwambia mkuu tafuta shule nyingine hapa ni usumbufu kwa watu wengine sioni tatizo ila kwa kuwa wabongo ni majubgu na wivu baasi