Hii ni Part 2 ya Makalio Bar Temeke

Hii ni Part 2 ya Makalio Bar Temeke

Temeke wapi hiyo,tujuze

katika kitu ambacho Mungu ametujaalia kama kipaji na the best gift ni hiki! Wengine wakazana kufikitia science na tevhnolojia ngumu ngumu mpk wananyonyoka nywele! Sisi aka tunafikiria ni baa gani inawanawake wazuri!
 
Ikifika saa tatu ndio balaa maana wahudumu wanakaa juu ya mapaja ya wanaume. Wale mabingwa wa kunawa hapo ndio kambi yao.
Dogo acha utani! .... kwetu huko naingia next week, sitaki mambo ya viwanja vikubwa (actually siyawezi).
 
Umemdaka pazuri...!!? anataka akawakague hao wahudumu kama ni salama kwa matumizi ya wateja!?

Afu najua hicho kitaa unakijua manake hakiko mbali na maeneo yako ya utukufu.
 
Afu najua hicho kitaa unakijua manake hakiko mbali na maeneo yako ya utukufu.

Tatizo mitaa ile jirani mno na ofisini. Kwa sasa niko Lumo huku.. Ennie nam deep hapatikani.
 
Last edited by a moderator:
Tehetehe umenikumbusha mambo ya Arusha, mara ya kwanza kufika mwenyeji wangu akaniambia, ukishashuka KIA panda Shuttle za kunifikisha Arusha. Then nichukue tax kwenda MATA-KO BAR, nilijua utani wa rafiki nikauliza jina jingine akanitajia kitu kama Ausha Park. Nilipofika arusha niaona kaa kusema MATA-KO BAR ni tusi nikamuelekeza tax dreva anipeleke Arusha Park, niliposhuka kumpigia mwenyeji ananielekeza mazingira tofauti, tax dreva akaniuliza au ni MATA-KO BAR nikasema ndiyo. Bwana wee kufika hapo wahudumu wote wanavuta tela na watu ni nyomi kuona uumbaji.

Hahaha kweli aisee hata mie nliwah enda shuhudia uumbaj wa mungu
 
Kwa wale ambao walisoma mkasa wa baa maarufu iliyoko Temeke Wailes iitwayo Junction Pub au Makalio Bar kama inavyofahamika na wengi, hii ni sehemu ya pili ya vituko vya baa hiyo.
Wiki hii nilipita tena katiba baa hiyo na kugundua kuwa Wahudumu wa baa hiyo licha ya kwamba wanavaa visketi vifupi lakini pia hawana chumba cha kubadilishia nguo yaani gheto kama ilivyo kwenye baa nyingine.
Wanachofanya wahudumu hao ikifika saa ya kuingia kazini yaani dakika chache kabla ya saa kumi jioni, wahudumu wanajibanza karibu na choo na kubadilisha nguo kweupee.
Kuonyesha chupi au matiti kwa wateja ni jambo la kawaida kwa wahudumu wa baa hii. Watu wengine kumbe wanakuja kwenye baa hii kusafisha macho; kuangalia mabumunda na mtindi. Kaazi kweli

Mmmmmh napitaga lkn mambo hayo cjui kama kweli unayosema...!? Au unausika na bar hiyo wataka kutafuta wateja humu jamvini,maaaaana.............!?
 
Mimi napajua. Ukitaka kufika panda gari shuka Temeke Hospitali; fuata barabara ya lami iendayo uwanja wa taifa. Mbele baada ya shule ya Wailesi kuna baa ya makuti mkono wa kushoto. Pembeni yake ndio kuna hiyo baa ya wahudumu wanaokaa uchi. Watu wengi wanapapenda sana kwenda kuona vitumbua vilivyojaa kwenye chupi.
Umewapa bonge la promo.weekend hii patakuwa hapatoshi
 
Back
Top Bottom