Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,656
Ni kweli tunatofatiana akili za maisha na busara..upo sawa kabisasifungwi na sheria sina mipaka na changu.! to me anytime anywhere is show time
Ni kweli tunatofatiana akili za maisha na busara..upo sawa kabisasifungwi na sheria sina mipaka na changu.! to me anytime anywhere is show time
Unazo ngapi mkuu?
Kutiana kila sehemu? Huwezi kuvumilia?
Sikujipeleka tumeenda kuwasalimia mila zinatofautiana huku ni kijijini kabisa nyumba si kama huko kwenu huku kuna uhaba mkubwa wa nyumba ya wakwe ndio kubwa na nzuri hapa kijijini
Peleka kitanda jikoni....naamini jiko liko mbali kidogo na chumba cha wakwe na shemeji.
umeziona nyumba za sitimbi kwenye picha? ukuta waweza kudondokaTafuta sehemu hapo ukutani mwegemeze kisha piga kede ... naamini mtawasumbua tu ule muda wakurudi kulala tu
Hapa natoa full support mke ni wako na mna fahamu kabisa mpo kwa wakwe ina mana hata kuvumilia hiyo siku moja mbili ni ngumu au mkiondoka mna ziacha hizo kwa wakwe? koz m najuwa hiyo sio chakula unaweza lala bila na ushasema ni mke manake ni yakooooooooooo tu atakupa tuuuuuuuuuuuuu hata siku nzima ILA mkiwa kwenu kwenye hyo 6*6 mnayo taka iliyo kazwa.Kwani mkienda kwa wakwe mkivumilia kidogo mpaka mrudi..mtakufa..? Watu wengine bana
Mkuu hiyo ulioandika inaitwa busara na akili ya maisha..tumuombe mungu atupe kwenye maisha yetu..watu wengi hawanaHapa natoa full support mke ni wako na mna fahamu kabisa mpo kwa wakwe ina mana hata kuvumilia hiyo siku moja mbili ni ngumu au mkiondoka mna ziacha hizo kwa wakwe? koz m najuwa hiyo sio chakula unaweza lala bila na ushasema ni mke manake ni yakooooooooooo tu atakupa tuuuuuuuuuuuuu hata siku nzima ILA mkiwa kwenu kwenye hyo 6*6 mnayo taka iliyo kazwa.