masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
sifungwi na sheria sina mipaka na changu.! to me anytime anywhere is show time
hahahhaha unasimamia show kiongozi
sifungwi na sheria sina mipaka na changu.! to me anytime anywhere is show time
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI SITIMBI NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA
inashangaza....hata chuma mboga haujui Mshana Jr...?
Kwanza mpare gani wewe huna haya unalala ukweni? Kwa makabila mengi ya kibantu ukienda hata msibani, utapelekwa kulala kwa ndugu mwingine na sio kwa wakwe. Uage asubuhi bwana acha kutia aibu
Namshangaa hata mimi,, utaendaje kulala ukweni atii??hamna hata guest house ulale unakimbilia kubanana na mashemeji zako kwenye kinyumba. Kwa hili na mengine mengi NAHESHIMU mila za kichagga.
Eka du umbuje kumbe umndughu...! Nzatamiwa kwei
Eka du mndughu.
Imi ni ya nkhoogwe
Hahahaaaa kabanga style za michepuko hizo
Sikujipeleka tumeenda kuwasalimia mila zinatofautiana huku ni kijijini kabisa nyumba si kama huko kwenu huku kuna uhaba mkubwa wa nyumba ya wakwe ndio kubwa na nzuri hapa kijijini