Hii Ni Noma Sana Halafu Inakera

Hii Ni Noma Sana Halafu Inakera

Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI SITIMBI NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA

Shusha godoro chini
 
kumbe wapare ndivyo mlivyo?

halafu nasikia huko kuna katabia ka baba mkwe kubeba mke wa mwanae na hata kuzaa nae kabisa,
mshana jr njoo utetee hoja, la sivyo semista hii ujue utazaa ndivyo sivyo. lol
 
Last edited by a moderator:
kumbe wapare ndivyo mlivyo?

halafu nasikia huko kuna katabia ka baba mkwe kubeba mke wa mwanae na hata kuzaa nae kabisa,
mshana jr njoo utetee hoja, la sivyo semista hii ujue utazaa ndivyo sivyo. lol

kaka nipo Sitimbi Ukweni sipo upareni
 
Last edited by a moderator:
Kwanza mpare gani wewe huna haya unalala ukweni? Kwa makabila mengi ya kibantu ukienda hata msibani, utapelekwa kulala kwa ndugu mwingine na sio kwa wakwe. Uage asubuhi bwana acha kutia aibu

huku SITIMBI hawana hiyo mila
 
Kwani mkienda kwa wakwe mkivumilia kidogo mpaka mrudi..mtakufa..? Watu wengine bana

sifungwi na sheria sina mipaka na changu.! to me anytime anywhere is show time
 
Umelala ukweni!
Hii ni aibu kuliko hiyo unayoihofia!!!
 
sifungwi na sheria sina mipaka na changu.! to me anytime anywhere is show time

Eish, sasa ulikuwa unalalamikia nini? Si umdenge binti wa watu regardless? Angalia kaka zake wasije wakakulipizia. Shauri zako.
 
si mpeane mambo huku mmesimama thn mnarudi zenu kulala. mastaili kibao mnashindwa kuyatumia!!!!
 
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI SITIMBI NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA

Sio lazima mfanyie kitandani.....
 
Shusha godoro chini piga kazi sakafuni inakua poa sana. Au mshikishe ukuta maisha yasonge acha kulalamika tumia fursa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom